Search results

  1. Z

    Je? Maagizo ya kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa 2024 yamepuuzwa?

    Wiki tatu zilizo pita Kiongozi wa Mwenge kitaifa alitoa maagizo kuwa; Mabasi yote yanayo pakia na kushusha abiria nje ya Stendi ya Magufuli watoke huko na warudi ndani ya stendi. Kumekuwa na utitiri wa vituo vya mabasi ya abiria maeneo mbalimbali ya jiji la Dsm haswa maeneo ya Shekilango hadi...
  2. Z

    BoT ichunguzeni Benki ya NMB inawanyonya wakopaji

    Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa. Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!! Huu ni utapeli!!!! Huu ni unyonyaji!!!! Huu ni ukaushaji damu!!!! Kisa mteja anashida ya kukopa basi ndio...
  3. Z

    Pongezi kwa mawaziri wote; hakika wanachapa kazi

    Natoa pongezi za dhati kabisa kwa safu yote ya Mawaziri chini ya Amiri Jeshi Mkuu Mama Samia. Nieikubali safu hii ya mawaziri aliyo ipanga wanachapa kazi. Kila nikiwasikiliza na kuwatizama utendaji wao wa kazi hakika wanastahili. Wizara ya Elimu inafanya vizuri sana, Ardhi, Miundombinu, Fedha...
  4. Z

    Unafiki na uzandiki ni hatari sana kuliko nyuklia

    Tabia ya UNAFIKI na UZANDIKI ni hatari sana kuliko hata silaha ya nyuklia. Tabia ya unafiki inaweza kuiangamiza jamii, unafiki unaweza kusambaratisha ndugu na hata familia. Tabia ya unafiki inaweza kukwamisha maendeleo ya familia na hata jamii kwa ujumla. Mtu au watu wanafiki huwezi...
  5. Z

    Suala la matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundishia laibuka tena Bungeni!!

    Suala la matumizi ya lugha ya kiswahili kama lugha ya kufundishia laibuka tena Bungeni wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Elimu leo tarehe 7/04/2024. Akichangia hoja Mbunge kutoka zanzibar ndg.Shamsi vuai imeishauri Wizara ya Elimu kutumia Lugha ya Kiswahili katika kufundisha masomo...
  6. Z

    Lissu apuuzwe au achukuliwe hatua za kisheria?!!!

    Tanzania ni nchi yetu sote hatuna taifa jingine zaidi ya Mama Tanzania. Tukiwa kama watanzania wenye uchungu na taifa letu hatuna budi kulilinda dhidi ya maadui au chokochoko za aina zote. Kauli za Tundu Lisu ni za kichochezi na zenye nia ya kuwagawa watanzania ambao tumeishi kwa umoja na...
  7. Z

    Naunga mkono hoja ya mbunge wa Ester Matiku, kunyimwa dhamana wa wabakaji

    Naunga mkono hoja ya Mbunge wa Chadema aliyo itoa leo Mei 6 wakati akouliza swali Bungeni. Kuwa Watuhumiwa wa makosa ya Ubakaji wasipewe dhamana. Kwalweli watuhumiw wa ubakaji hawana tofauti na wauaji hivyo hawastahili kupewa dhamana. Tunaziomba mahakama zetu zisiwape dhamana watuhumiwa wa...
  8. Z

    Mikopo ya kausha damu inatokana na ngumu ya maisha ya wananchi

    Serikali/viongozi jitahidini kutimiza wajibu wenu ili kukwamua hali ngumu za kimaisha kwa watanzania. Mabeki pamoja na taasisi nyingine za kifedha zinatumia ugumu wa maisha kukausha damu wananchi. Serikali, Wizara ya Fedh pamoja na BOT iangalie riba za Mabenki wanazotozwa wakopaji haswa Benki...
  9. Z

    Ni kweli hali ya vita vya Urusi na Ukrine, Israel na Palestine vimesababisha mdororo wa uchumi duniani Tanzania ikiwemo.

    Nakubaliana na hotuba aliyo itoa Makamu wa Rais dkt Philipo mpango alipokuwa akihutubia wafanyakazi katika maadhimisho ya Mei mosi 2024 Jijini Arusha. Vita vinavyo endelea katika mataifa hayo vimepelekea bei za mafuta kupanda na hivyo kuathiri uchumi wa kila nchi duniani. Hoja hiyo ni ya kweli...
  10. Z

    Arusha mmetisha. Sio kwa mafuriko ninayo yashuhudia kwenye Mei mosi leo hii

    Hongereni sana wana Arusha kwa kufurika kwenye maadhimisho ya Mei mosi leo hii. Nguvu ya makonda bado ni kubwa sana.. Wamevunja rekodi. Haijawahi kutokea wafanyakazi kujaa kwa kiwango kama hicho!!!
  11. Z

    Pendaneni, acheni majungu na kufitiniana, chapeni kazi kwa bidii

    Leo Mei mosi 2024, tunawatakia wafanyakazi wote wa Tanzania sikukuu njema. Salam zetu kwao ni kwamba; 1. tunawaasa wawe na mahusiano mazuri kazini, wapendane, waache kuoneana wivu, waache kufitiniana/kuchongeana kwa maboss wao na kupigana majungu. Majungu na fitina mahali pa kazi inapunguza...
  12. Z

    Heko kwa Waziri wa Kilimo kwa kuamua kujenga mabwawa kuvuna maji yatokanayo na mafuriko

    Wananchi tunataka kila kiongozi aliye pewa dhamana na Rais wetu kuwa mbunifu na mwenye kuona mbali, huyo ndiye kiongozi. Tumefarijika kumsikia Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuwa watajenga mabwawa pembezoni mwa bwawa la Mwl. Nyerere ili kuvuna maji yatokanayo na mafuriko lakini pia kudhibiti...
  13. Z

    Vijana tunaomba umri wa kustaafu uwe miaka 45 hiari na 55 lazima

    Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo ni; 1. Umri wa kustaafu upunguzwe uwe miaka 45 hiari na 55 iwe lazima, badala ilivyo sasa kuwa 50...
  14. Z

    Kama kweli tunataka kulinda maadili ya kizazi chetu basi hatuna budi Bunge kutunga sheria kali dhidi ya mahusiano au ndoa za jinsia moja

    Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga. Majirani zetu Uganda tayari wamepitisha sheria kali dhidi ya mashoga ikowa ni pamoja na adhabu ya kifo. Lengo...
  15. Z

    Matamasha ya mizuki wa taarabu ni kichaka cha biashara ya ushoga.

    kama kweli tumedhamiria kusimamia maadili ya kizazi chetu basi mamlaka husika zinao wajibu wa kutupia macho matamasha ya taarabu ambayo kwa kiasi kikubw mashoga hujiingiza na kujiuza/. jana trh 26/04 nilikuwa kwenye ukumbi wa Dimond J kwenye Tamasha la taarabu (Raha za Pwani) nilishuhudia kundi...
  16. Z

    RC Chalamila: Haiwezekani sote tukawa wapole, tutaonewa sana

    Nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila. Nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao, na huo ukali wao ni faida kubwa kwenye kuharakisha maendeleo. ukali ni muhimu sana, bila ukali wabongo...
  17. Z

    Muungano wetu uendelee kudumu milele na milele

    Happy birthday Muungano, how old are you now? 60 years! Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima. Tuendelee kuimarisha na kutatua dosari zilizopo ili kuuendeleza muungano wetu. Tunaomba makala maalum zinazo...
  18. Z

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  19. Z

    Pongezi kwa Idara ya kupambana na dawa za kulevya

    Pongezi nyingi kwa kamishna na watendaji wote kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kupambana na madawa ya kulevya, kazi bado ni kubwa lakini tunaona jitihada na dhamira ya kupambana. Tumeona kazi ya kudhibiti bandari bubu kuanzia mwambao wa bagamoyo hadi DsM, pote humo kuna chochoro za kupitisha...
  20. Z

    Umri wa kustaafu ukipunguzwa, nafasi za ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya vyuo vikuu zitapatikana

    Katika jitihada za kuongeza ajira kwa kundi kubwa la vijana wanao hitimu elimu ya vyuo vikuu, tunaishauri Serikali kupitia wizara husika kurekebisha umri wa kustaafu watumishi wa umma uwe miaka 50 badala ya miaka 55. Kwa sasa mtumishi anastaafu kwa mujibu wa sheria miaka 55 na wengine hadi 65...
Back
Top Bottom