Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa.
Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!!
Huu ni utapeli!!!!
Huu ni unyonyaji!!!!
Huu ni ukaushaji damu!!!!
Kisa mteja anashida ya kukopa basi ndio aadhibiwe kwa riba ya kukandamiza??
Wananchi tunaiomba BOT iichunguze hii Benki ya NMB, iangalie mikopo iliyotolewa kwa wateja na Riba wanazo watoza wakopaji je ni sahihi au sio sahihi.
NMB inawaumiza sana wakopaji, wizi mtupu.
Ndio maana tunauomba uongozi wa Benki Kuu (BoT) wakisaidiana na CAG wafanye uchunguzi wa kitaalamu kwenye taratibu za mikopo ya Banki hii ya NMB ili kuwanusuru Raia na Unyonyaji unao endelea.
Wananchi wanafahamu kuwa Bunge letu tukufu limeiagiza Serikali kupitia Wizara ya Fedha kufuatilia mikopo kausha damu kwenye taasisi zote za kifedha lkn tunaomba uchunguzi wa kina ufanywe kwa Benki hii ya NMB.