Pongezi kwa Idara ya kupambana na dawa za kulevya

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,284
7,853
Pongezi nyingi kwa kamishna na watendaji wote kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kupambana na madawa ya kulevya, kazi bado ni kubwa lakini tunaona jitihada na dhamira ya kupambana.

Tumeona kazi ya kudhibiti bandari bubu kuanzia mwambao wa bagamoyo hadi DsM, pote humo kuna chochoro za kupitisha madawa ya kulevya.

Tunaomba mapambano haya yafanyike kwa nguvu zote, majini na nchi kavu, kwenye viwanja vyetu vya ndege uchunguzi uongezeke, kwenye vituo vya mabasi kama vile Magufuli bus stand n.k

Sisi wananchi tutaendelea kutoa ushirikiano kwa kuwafichua wauza madawa, au mtandao wote unao jishughulosha na biashara za madawa.
 
Ni dawa za kulevya, siyo madawa ya kulevya.
 
Sasa unapo wapongeza bila kusema nini wamefanya cha ziada, sisi wengine tutajuaje??
 
Mbwa kubweka ndio kazi yao, ukiona mzigo unaingia nchi kama Marekani huku kwingine wanabweka tu kuonesha na wao wapo.

Kwanza kama wewe ni Mwafrica unajisomea mwenyewe albadiri ya Kihindi ni ujinga wako mwenyewe, hiyo mizigo hapa inapita transit tu na inaboost mzunguko wa pesa.
 
Pongezi nyingi kwa kamishna na watendaji wote kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kupambana na madawa ya kulevya, kazi bado ni kubwa lakini tunaona jitihada na dhamira ya kupambana.

Tumeona kazi ya kudhibiti bandari bubu kuanzia mwambao wa bagamoyo hadi DsM, pote humo kuna chochoro za kupitisha madawa ya kulevya.

Tunaomba mapambano haya yafanyike kwa nguvu zote, majini na nchi kavu, kwenye viwanja vyetu vya ndege uchunguzi uongezeke, kwenye vituo vya mabasi kama vile Magufuli bus stand n.k

Sisi wananchi tutaendelea kutoa ushirikiano kwa kuwafichua wauza madawa, au mtandao wote unao jishughulosha na biashara za madawa.
🙏🙏

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1783271874207572329?t=XlID0DwcspwWYsvAVFYjSw&s=19
 
Kuna ile ya africa ya kati inachanganywa na mifupa ya binadamu aloiio watu wabunifu
 
Back
Top Bottom