Naunga mkono hoja ya mbunge wa Ester Matiku, kunyimwa dhamana wa wabakaji

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,296
7,864
Naunga mkono hoja ya Mbunge wa Chadema aliyo itoa leo Mei 6 wakati akouliza swali Bungeni. Kuwa Watuhumiwa wa makosa ya Ubakaji wasipewe dhamana.

Kwalweli watuhumiw wa ubakaji hawana tofauti na wauaji hivyo hawastahili kupewa dhamana.

Tunaziomba mahakama zetu zisiwape dhamana watuhumiwa wa ubakaji.

Wabakaji wakinyimwa dhamana huenda kesi haziwezi kuharibiwa.
 
kwamba nyegee ni uuaji ngoja demu alevyako afu aje ghetto akunyime
 

Attachments

  • SGN_05_04_2024_1714832545958.png
    SGN_05_04_2024_1714832545958.png
    213.5 KB · Views: 1
🔹 Hapo kaongea kama mwanamke mwanaharakati

🔹 Asisahau upande mwingine yeye ni mama na yawezekana ana watoto wa kiume au dada mwenye kaka wa kiume

🔵 Haya makosa ya "emotional" yanaweza kumtokea mwanao, ndugu yako ama kwa hormones za kubalehe, ama kwa influence ya ulevi ukakuta mtu kapatwa kichaa Cha muda na akili inamjia baada ya tukio

🔵Tuna wajibu wa kuwalinda watoto wetu wa kike wadogo na sheria ziwa protect
🔵 Lakini lazima tu strike ballance kwa watoto wakosani wa makosa hayo wasije kuharibu Maisha Yao yote kwa kuchanganya na majambazi miaka 30
🎵 Wanaharakati hudhani kwamba mbalaji ni jitu la ajabu kutoka maporini lenye pembe au litokalo kwenye Koo na makabila mengine na kusahau kuwa mbalaji anaweza kuwa mtoto wake, mme wake au ndugu yake. Je ! Likitokea kwenye nyumba yake kwa mpendwa wake hatapambana kulimaliza?
 
Punguza mihemko.wanawake sio viumbe wakuwaamini.Wako watu kibao wamewai kusingiziwa kubaka na hawa hawa viumbe.Sasa ukisema wasipewe dhamana badae ikijulikana ni uongo utamlipa fidia?.Siku yakikuta ndo utajua dunia duara.
 
Ndio maana tunasema jaji mwaminifu ni Mungu peke yake.
Wakati watunga sheria wakiwa na nia nzuri kabisa kutoa dhamana kwa mtuhumiwa wa ubakaji kwamba apate wasaa wa kujiandaa kujitetea kama alisingiziwa,mabaradhuli nao wanakumbwa na ofa hiyo na kupata mwanya wa kwenda kuharibu kesi.

Mbunge yuko sawa kabisa,na wanaotizamia nafasi ya faida kwa waliosingiziwa wako sawa kabisa.
 
Punguza mihemko.wanawake sio viumbe wakuwaamini.Wako watu kibao wamewai kusingiziwa kubaka na hawa hawa viumbe.Sasa ukisema wasipewe dhamana badae ikijulikana ni uongo utamlipa fidia?.Siku yakikuta ndo utajua dunia duara.
hata watuhumiwa wa makosa ya mauaji na unyang'anyi huwa hawapewi dhamana lkn baadae kukiwa hakuna ushahidi huwa wanaachiwa.
 
Mahakama itaamuaje wakati sheria inakua tayari ipo.Au unaunga mkono mambo ambayo huyajui?
hata watuhumiwa wa makosa ya mauaji na unyang'anyi huwa hawapewi dhamana lkn baadae kukiwa hakuna ushahidi huwa wanaachiwa.
Mbunge alicho shauri ni kuwa Makosa ya UBAKAJI NAYO YAINGIZWE KAMA MAUAJI.
 
Naunga mkono hoja ya Mbunge wa Chadema aliyo itoa leo Mei 6 wakati akouliza swali Bungeni. kuwa Watuhumiwa wa makosa ya Ubakaji wasipewe dhamana.
kwalweli watuhumiw wa ubakaji hawana tofauti na wauaji hivyo hawastahili kupewa dhamana.

tunaziomba mahakama zetu zisiwape dhamana watuhumiwa wa ubakaji.

wabakaji wakinyimwa dhamana huenda kesi haziwezi kuharibiwa.
Umefikiri vyema?
Imagine hupewi dhamana halafu mwishowe mahakama haikukuti na hatia.
 
Naunga mkono hoja ya Mbunge wa Chadema aliyo itoa leo Mei 6 wakati akouliza swali Bungeni. kuwa Watuhumiwa wa makosa ya Ubakaji wasipewe dhamana.
kwalweli watuhumiw wa ubakaji hawana tofauti na wauaji hivyo hawastahili kupewa dhamana.

tunaziomba mahakama zetu zisiwape dhamana watuhumiwa wa ubakaji.

wabakaji wakinyimwa dhamana huenda kesi haziwezi kuharibiwa.
Yuko sahihi ingawa mi naona ishu ya dhamana iwe at police discretion sababu kuna mtu unakuta kanajisi katoto kadogo alafu anakula dhamana sababu ni haki yake kisheria.Sheria ikibadilishwa ina maana police wataangalia ukubwa wa kosa,kuna mazingira ya mwanamke mzima kubakwa kiutata kunakoashiria kuna uwezekano wa mtu kusingiziwa lakini sio katoto kadogo.Ingawa pia police wetu wanaweza wasiitumie vzr hyo gap ya sheria.
 
Hapo kaongea kama mwanamke mwanaharakati

Asisahau upande mwingine yeye ni mama na yawezekana ana watoto wa kiume au dada mwenye kaka wa kiume

Haya makosa ya "emotional" yanaweza kumtokea mwanao, ndugu yako ama kwa hormones za kubalehe, ama kwa influence ya ulevi ukakuta mtu kapatwa kichaa Cha muda na akili inamjia baada ya tukio

Tuna wajibu wa kuwalinda watoto wetu wa kike wadogo na sheria ziwa protect
Lakini lazima tu strike ballance kwa watoto wakosani wa makosa hayo wasije kuharibu Maisha Yao yote kwa kuchanganya na majambazi miaka 30
Wanaharakati hudhani kwamba mbalaji ni jitu la ajabu kutoka maporini lenye pembe au litokalo kwenye Koo na makabila mengine na kusahau kuwa mbalaji anaweza kuwa mtoto wake, mme wake au ndugu yake. Je ! Likitokea kwenye nyumba yake kwa mpendwa wake hatapambana kulimaliza?
 
Ongeza uwezo wako wa kuelewa mambo
Mbakaji hana tofauti na muuaji....
tena sio tu wasipewe dhamana lakini pia wakikutwa na hatia wanyongwe hadi kufa.
hii ndio njia pekee ya kupambana na wabakaji haswa watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom