Search results

  1. Maxence Melo

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Wakuu, Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024. Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN), hadi anafariki alikuwa ni Country Manager wa Wananchi Group...
  2. Maxence Melo

    DST: Kwanini Waziri Mwigulu aliipongeza JamiiForums na Mkurugenzi wake?

    Wakuu, Kwa heshima kubwa nachukua nafasi hii kuwashukuru wengi waliotupongeza kwa mchango wetu kutambuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango mnamo jana, Juni 14, 2022 wakati Bajeti ikisomwa Bungeni. Asanteni sana. Nini hasa ulikuwa mchango wa JF? JamiiForums ilipata taarifa mapema...
  3. Maxence Melo

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Wakuu, Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa... Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza...
  4. Maxence Melo

    Kufunga Mwaka 2021: Jamii Forums na kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali

    Katika kufunga Mwaka 2021, Jamii Forums mnamo Desemba 30 ilidhamini kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali waliokutana Magomeni jijini Dar na kula, kunywa na kucheza pamoja kwa furaha kuuaga mwaka 2021. Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian...
  5. Maxence Melo

    JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

    Wakuu, Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified. Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari yako. Unaweza kusoma Sera yetu ya Faragha kama una concerns zozote > Privacy policy ambayo ina ufafanuzi...
  6. Maxence Melo

    Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

    Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
  7. Maxence Melo

    JF Scheduled Maintenance - October 2020

    ====== UPDATE: Marekebisho yamefanywa Oktoba 6, 2020 around 23:00hrs na yamechukua dakika 15 ====== Wakuu, Kuna maboresho yanafanyika chini kwa chini, search functionality inaweza isifanye kazi vema kwa siku moja au mbili (tangu jana). Tunatarajia hadi kesho muda kama huu mambo yatakuwa...
  8. Maxence Melo

    JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

    Wakuu, Leo usiku wa manane, kati ya saa 8 na saa 10, tutakuwa na marekebisho kadha wa kadha katika miundombinu yetu yanayoweza kupelekea kusimama kwa baadhi ya huduma (na wakati flani huduma zote kusimama). Hii ni katika kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuongeza uwezo wa kuhimili...
  9. Maxence Melo

    Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

    Wakuu, Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu fulani au kutoona content kutoka forum fulani au contents za thread fulani tu. Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo. ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote...
  10. Maxence Melo

    Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums

    Wakuu, Mwongozo huu tunauweka hapa ili wadau mtoe maoni kwani inawezekana wengi hamjausoma. Una mabadiliko kidogo lakini umekuwepo muda mrefu. Bandiko kuu lisilojadiliwa lipo hapa: JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Unaweza kutoa maoni yako ili...
  11. Maxence Melo

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Wakuu, Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru watanzania kwa ujumla na hasa watumiaji wa mitandao ya kijamii na kwa namna ya kipekee wanachama wa JamiiForums kwa support ambayo tumekuwa tukiipata toka kwenu tangu mwanzo wa kesi hii hadi mwisho wake. Hukumu hii ya kesi namba 456 ya mwaka 2016...
  12. Maxence Melo

    Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

    Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla, Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mlioguswa kusikia nimeitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya magazeti mawili leo kunihusisha na linalodaiwa kuwa ‘Genge la Watu wanaopanga mikakati ya kumuua Cyprian Musiba”. Genge hili lilihusisha wanasiasa...
  13. Maxence Melo

    UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Tunasikitishwa na taarifa zilizowekwa kupitia mtandao wa YouTube na baadae Twitter, zikionyesha kuwa kuna watu wanawafahamu wateja wetu hivyo wasidhani wamejificha. Taarifa hizi kuna baadhi zimewajengea hofu na kudhani ‘wameuzwa’ na JF hivyo kukosa amani. Kilichowekwa Twitter/YouTube kama...
  14. Maxence Melo

    Maboresho ya JF - 2019

    Wakuu, Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF. Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform. Aidha, maboresho hayo yataenda hadi...
  15. Maxence Melo

    ‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

    Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani. Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo ili kuiangusha na kuiondoa hewani. Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza...
  16. Maxence Melo

    Scheduled maintenance: JF kusumbua kwa dakika chache (Nov 6, 2018)

    Wakuu, Kwa takribani dakika 3 (haitazidi) JF inaweza kuwa na errors kwa baadhi ya wateja na niwaombe kuwa watakaokutana na tatizo ndani ya dk 10 zijazo waelewe kuwa kuna kitu tunafanya kuimarisha usalama wa miundombinu yetu. Tunashukuru kwa uvumilivu wenu na ushirikiano. Maxence
  17. Maxence Melo

    JF Android Mobile App - UPDATED

    Wakuu, Wale mnaotumia App ya Android ningependa kuwafahamisha kuwa leo tumerekebisha kasoro nyingi zilizokuwa zimeripotiwa kwetu na hivyo app itawaarifu kuwa kuna maboresho na inahitaji kuwa UPDATED. Tafadhali fanya UPDATE ili upate app mpya iliyofanyiwa maboresho. Ukisikia mtu anakwambia kuwa...
  18. Maxence Melo

    TANGAZO: Kwa wajasiriamali mnaotaka kutangaza bidhaa/maduka yenu

    Kwa ajili ya kuhakikisha tunawasaidia wajasiriamali kuweza kulifikia soko zaidi; JamiiForums imepanga kuanza kuzitangaza bidhaa zao kwa kufanya uhakiki wa biashara zilipo na kisha kuwa-verify na kuwa na sehemu maalumu hapa jukwaani ajili yao. Sehemu hii itatengenezwa RASMI ajili ya biashara...
  19. Maxence Melo

    JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

    Wakuu, Napenda kutoa taarifa mapema kuwa kutakuwa na maboresho kadhaa ili kutekeleza baadhi ya maombi ya wadau na kurekebisha kasoro kadhaa katika tovuti na app yetu. Aidha, baada ya utafiti tulioufanya (tunawashukuru wote walioshiriki katika utafiti huu), kuna mengine yataendelea kuongezwa na...
Back
Top Bottom