Scheduled maintenance: JF kusumbua kwa dakika chache (Nov 6, 2018)

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Staff member
Feb 10, 2006
4,235
13,436
Wakuu,

Kwa takribani dakika 3 (haitazidi) JF inaweza kuwa na errors kwa baadhi ya wateja na niwaombe kuwa watakaokutana na tatizo ndani ya dk 10 zijazo waelewe kuwa kuna kitu tunafanya kuimarisha usalama wa miundombinu yetu.

Tunashukuru kwa uvumilivu wenu na ushirikiano.

Maxence
 
"For security purposes" is always good! Thank you for the information.
 
Wakuu,

Kwa takribani dakika 3 (haitazidi) JF inaweza kuwa na errors kwa baadhi ya wateja na niwaombe kuwa watakaokutana na tatizo ndani ya dk 10 zijazo waelewe kuwa kuna kitu tunafanya kuimarisha usalama wa miundombinu yetu.

Tunashukuru kwa uvumilivu wenu na ushirikiano.

Maxence
Konk konk master fanya fanya tuwe salama zaidi tena ki konk zaidi
 
Asante kwa taarifa maana wale mang'aa wa jiwe wasije wakapata taarifa zetu kwa sababu nchi sasa imetumbukia kipindi cha Medieval(kipindi cha giza).
 
Wakuu,

Kwa takribani dakika 3 (haitazidi) JF inaweza kuwa na errors kwa baadhi ya wateja na niwaombe kuwa watakaokutana na tatizo ndani ya dk 10 zijazo waelewe kuwa kuna kitu tunafanya kuimarisha usalama wa miundombinu yetu.

Tunashukuru kwa uvumilivu wenu na ushirikiano.

Maxence

Wala usijali ' Big Boss ' sisi hata ingekuwa ni kwa Saa 24 zijazo kwa upendo mkubwa tulionao kwa huu Mtandao wako pendwa na tukuka bado tu tungevumilia. Hongereni kwa hizo juhudi zenu Kubwa kabisa za Kiusalama hasa wa Miundombinu yenu ambayo mnaichukua sasa. Ni hatua njema, sahihi na bora kabisa. Mbarikiwe na Mwenyezi Mungu aulinde huu Mtandao wa JamiiForums daima milele Amina.
 
TUNAOMBA UTOE HIYO SEHEMU YA CHIN YA PAGE INAYOONYESHA ID ZETU NI HATARI KWA USALAMA WETU! labda kama una nia ya kutu expose

maana hatuna uhuru kuperuzi kwenye public kwa kuhofia jina kuonekana wakati unasoma comments
 
Sawa fanyeni patching kwenye program na network sie twavumilia
 
Poa poa hata ingekuwa saa 24 hatuna neno juu yenu fanyeni konk konk konk master.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom