Search results

  1. Tafakari_nami

    Interview invitation - Syspro business support

    Wakuu habari za muda huu, nina rafiki yangu ametumiwa email kichwa cha habari kina eleza kwamba INTERVIEW INVITATION - SYSPRO BUSINESS SUPPORT. Sasa haelewi hiyo SYSPRO BUSINESS SUPPORT ni nini. Maana amekuwa akituma application za kazi sehemu nyingi tofauti tofauti sasa hakumbuki kama aliwahi...
  2. Tafakari_nami

    Bajeti ya Tanzania matumizi ya kawaida makubwa kuliko matumizi ya maendeleo

    UCHUMI: Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kukusanya na kutumia Tsh. Trilioni 49.34 katika Mwaka 2024/25 ambapo kati ya Fedha hizo, Tsh. Trilioni 6.61 zitakopwa kutoka Soko la Ndani na Tsh. Trilioni 2.98 zitakopwa kutoka katika Soko la Nje Wizara ya Fedha imeeleza kuwa katika mipango ya...
  3. Tafakari_nami

    Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

    Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda. Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video...
  4. Tafakari_nami

    Tanzania ni nchi ya tatu duniani kama nchi ambayo watu wake wana furaha

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI. Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani. Nilipo ona...
  5. Tafakari_nami

    Aliniambia yeye ni bikira kumbe hakuna kitu

    Habarini wana jamvi ,natumaini mko salama na poa kabisa. Leo nimeona nilete mkasa wangu kwenu, mkasa ambao niliwahi pitia huko nyuma. Iko hivi miaka michache nyuma nilikutana na dada mmoja kwenye mtandao fulani wa kijamii kwenye page moja hivi kipindi hiko mimi miaka 27 na yeye miaka 23, hiyo...
  6. Tafakari_nami

    Wewe mwanaume, umejifunza nini juu ya kifo cha Mr Ibu, msanii wa Nigeria?

    Habari ya muda huu wana jamvi. Bila kupoteza muda basi naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wengi wetu nina amini tuna mfahamu msanii aitwaye Mr Ibu kutoka nchini Nigeria, ameigiza filamu za vichekesho kama zile za akina Aki na Ukwa ma nyinginezo. Huyu msanii kwa sasa ni Marehemu, Mwenyezi...
  7. Tafakari_nami

    Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

    Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume. Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke. Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu...
  8. Tafakari_nami

    Why artist performs for free at NFL Super Bowl

    Apple Music pays the NFL $50 million annually to sponsor the Super Bowl halftime show. But Usher won't get any of that money. Instead, he'll perform for free, leveraging the exposure to gain followers, sell tickets, and increase streaming numbers. Here's how it works 👇 Some of the world's...
  9. Tafakari_nami

    Madai ya Harmonize kumpiga Baba Levo

    Baada ya Baba levo kusimulia chanzo cha ugomvi wake yeye na Harmonize, kuwa ni chipsi alizopewa CASINO kiasi cha Milioni 10 ili agawane nawenzie ambao alikuanao hapo casino ambao kati yao alikuwepo Rayvanny, Harmonize, Abbah process na wengineo, Fredrick Bundala SKY WALKER alishusha comment yake...
  10. Tafakari_nami

    Castle mwanajamvi nina kutafuta ndugu

    Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu. Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako. Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.
  11. Tafakari_nami

    Ni lini Barabara ya Mpigi Magohe itawekewa lami?

    Habari ya muda huu wadau. Mimi ni mkazi wa huku maeneo ya Mpigi Magohe, wilaya ya Ubungo. Nina omba kuuliza hivi ni lini serikali itaweka lami hii barabara ya Mpigi magohe maana siyo kwa vumbi hili, barabara ni ya vumbi, huwa ina chongwa tuu basi kila baada ya kipindi cha mvua, barabara ni...
  12. Tafakari_nami

    Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mdogo

    Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
  13. Tafakari_nami

    Huu ugonjwa wa Gastritis sasa unanitesa mno

    Habarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu, mikono na miguu kufa ganzi, kuhisi kiwewe au kuchanganyikiwa, kichefuchefu, kuchoka sana, na kuhisi...
  14. Tafakari_nami

    Mkopo elimu ya juu

    Hivi ni kweli kwa wale wanaodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu, hawawezi kwenda kusoma nje ya nchi mfano kuchukua masters mpaka wamalize kurudisha mkopo wao wa elimu ya juu au ?
Back
Top Bottom