Search results

  1. gaintoo broisser

    Utampisha Nani Hapo Kwa heshima

    Mimi naacha siti kwa Uzito
  2. gaintoo broisser

    Sote ni wavuta bangi na zinatumiwa kutengezea dawa

    Bangi yenye nguvu inaongeza hatari kubwa ya magonjwa ya akili, wasema watafiti 15 Machi 2024 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Watu wanaotumia bangi wanaweza kushindwa kuelewa mambo halisi na kushindwa kusikia sauti zao, wanasema watafiti Kuvuta bangi yenye nguvu yenye majani...
  3. gaintoo broisser

    Top 5 Most Secure Smartphones in the World

    Explore these top 5 most secure smartphones ruling the world right now In an era dominated by technological advancements and interconnectedness, the security of our data is paramount. Smartphones, being an integral part of our daily lives, often store sensitive information ranging from personal...
  4. gaintoo broisser

    Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

    Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU, 🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
  5. gaintoo broisser

    Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatangaza kuanza kwa programu ya Diversity Visa kwa mwaka 2024 (DV-2024) hapo tarehe 6 Oktoba 2024. Kila mwaka, kupitia programu hii, Marekani hutoa viza za ukaazi wa kudumu (immigrant visas) zipatazo 55,000 kwa raia wa nchi ambazo kihistoria zina idadi...
  6. gaintoo broisser

    Nilivunjiwa Ofisi yangu

    Nakumbuka siku nilifungua ofisi moja ya kurusha miziki ,nilienda kwa mama mmoja anitayalishie dawa ya kuleta wateja wengi waje niwachomee miziki na movie. Alinipa dawa nne mfano wa irizi ya kwanza akanambie niichimbie mbele ya flame yangu ya ofisi yangu Ya pili niiweke kwenye sehemu ninapoweka...
  7. gaintoo broisser

    Natafuta Mke wa Masharti ya Maisha ya Uchumi!

    Mimi ni kijana wa miaka 33 Naishi Mwanza ni mfanyabiashara wa kujitegemea, nipo hapa mbele yenu wanaJamii natafuta Mwanamke wa kuoa Kwa Mkataba. Mimi ni mfanyabiashara, na nimejiunga na Chama KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO tarehe 2 Mwezi wa 3 Mwaka 2024 vigezo vya mwanamke ninayemuhitaji. 1...
  8. gaintoo broisser

    Kwanini haki za Wanaume na Wanawake hazipo sawa

    Kama Kichwa cha Habari Hapo Juu. Kwanini haki za Wanaume na Wanawake hazipo sawa na kama zimeegemea kimwegemea Sana Mwanamke haijalishi mtoto au Mkubwa. Dunia mzima inapinga Ukatili wa Juu ya Wanawake wanaofanyiwa na Wanaume na linatilia mkazo Sana katika Haki hiyo. Tofauti na Wanaume...
  9. gaintoo broisser

    Hivi wanaohusika na haki za waajiliwa ni Taasisi ipi?

    Samahani Sana Wanajamii Kwa Swali hili nahitaji Kujua na Aulizaye si Mjinga. Mimi ni MWAJILIWA katika Kampuni X ,Boss wa Kampuni hii ninayofanyia kazi ni Miezi 4 Hajalipa Mshahara , WENGI Waajiri huwa wanatishia na Kusema Kanishitaki Popote Siwezi Kukulipa Mshahara wako adi nipende Mimi...
  10. gaintoo broisser

    Msaada: Unaweza kufuata hatua gani kisheria ikiwa mwajiri halipi mshahara?

    Habari za jioni wanajamii, mimi ni mzima wa afya ninahitaji Ushauri kwenu wana JF. Hivi hatua zipi za kisheria unaweza kufata ikiwa mwajiri halipi Mshahara? Mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja ambayo inasumbua sana kwenye malipo, unakuta Mishahara ya miezi 6 hawajalipa. Siku moja nilienda...
  11. gaintoo broisser

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    Habari wapedwa wa JF, mimi ni kijana wa miaka 33. Ninaishi kanda ya ziwa na ninaishi na mama yangu. Mama na baba waliachana nilipo maliza shule hadi form 4. Nilipomaliza, sikutaka kuendelea na masomo tena. Mwaka jana mwezi wa kwanza, mama akanambia umli umefika niende nikaoe na mwanamke yupo...
Back
Top Bottom