Search results

  1. HPAUL

    Yanga imebomoka

    Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
  2. HPAUL

    Mikutano mingi na Mayele ya nini?

    Klabu ya Yanga imekuwa na mfululizo wa mikutano na mchezaji wao Mayele, mchezaji ambaye tumeaminishwa bado ni hatimiliki ya Yanga kwa mwaka mmoja ujao. Hivyo basi Yanga ina mamlaka ya kumtumia Mayele kwa mshahara wanaomlipa sasa kwa mwaka mmoja ujao. Na walishafanya hivyo kwa Fei Toto kwani...
  3. HPAUL

    Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

    CAF katika kikao walichokaa jana mjini Rabat, Morocco wameamua kuanzia msimu huu wa 2023/2024 na kuendelea zile timu 16 ambazo huwa zimetolewa katika hatua ya timu 32 katika ligi ya mabingwa wa Africa hazitapata fursa tena ya kuingia katika hatua ya mtoano (Play-Off) ya kupambana na 16 bora za...
  4. HPAUL

    Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

    Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia. Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
  5. HPAUL

    Simba ijitoe CAF Club Champions 2023/2024

    Msimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali. Michuano ya Africa Super League itajumuisha team 8...
  6. HPAUL

    Je, Fei Toto kulindwa na kipengele cha kulinda kipaji?

    Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho. Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia...
  7. HPAUL

    Wapi Clara Luvanga

    Mwenye update za Clara Luvanga atujuze, huyu dada aliwezesha Serengeti Girls kufuzu India World Cup under 17. Sasa hivi simsikii wala kumwona katika klabu yake ya Yanga Princess, wala sikumwona India na Serengeti Girls. Tujuzwe, yuko wapi?
  8. HPAUL

    Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga msimu huu

    Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
  9. HPAUL

    Unbeaten! Simba alikuwa unbeaten miaka mitano, mbona haizungumzwi?

    Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980. Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
  10. HPAUL

    Adebayor: Watanzania mpo tayari?

    Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.
  11. HPAUL

    DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

    Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe. Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi. Ikumbukwe huyu ndiye aliyepokea...
  12. HPAUL

    Mayele na Kagere kila mmoja ana magoli mangapi hadi sasa?

    Naomba mnikumbushe Mayele na Kagere kila mmoja ana magoli mangapi hadi sasa NBC Premier League
  13. HPAUL

    Yanga kuna tatizo

    Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi Kutoweka kwa benchi la ufundi; tangu Yanga imeanza pre season hakuna kinacho eleweka rasmi wako wapi wasaidizi...
  14. HPAUL

    Duncan Nyoni Mrithi wa Chama

    Mkali kutoka Malawi
  15. HPAUL

    Je, Simba ikiongozwa na Gomes imeshafungwa na timu yoyote ya Tanzania?

    Nafahamu ya kwamba Simba ikiongozwa na Gomes imepoteza mechi 2 za kimataifa ugenini, Al Ahly (Misri) na Kaizer Chiefs (Afrika ya Kusini) lakini sina uhakika kwa mashindano ya nyumbani kama imewahi kupoteza mchezo wowote, mwenye taarifa zaidi anijuze.
  16. HPAUL

    Kesi mbili za Yanga kuhusu Morrison zimefikia wapi?

    Mwezi wa nane mwaka huu Yanga walituaminisha kuwa wamekata rufaa FIFA katika kiengo cha CAS kupinga kitendo cha kamati ya TFF kuamua kuwa mkataba wa miaka miwili na Morrison ni batili. Baadaye Yanga kupitia Mwakalebela ikaibuka na kesi mpya kudai usajili wa Morrison Simba haukukamilika. Je...
  17. HPAUL

    Papy Kabamba Tshishimbi AS Vita

    Papy Kabamba Tshishimbi aliyemaliza mkataba wake na Yanga yupo njia moja kujiunga na AS Vita kuziba nafasi ya Mukoko Tunombe aliyejiunga na Yanga.
  18. HPAUL

    Ligi ya Mabingwa Afrika isipokamilika, Tanzania kuwakilishwa na na timu 4?

    Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa. Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa...
  19. HPAUL

    Bodi ya Ligi: VPL Kurejea Juni

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi VPL amesema TFF inafanyia kazi maoni ya Mh. Rais Magufuli, na ligi itarejea Juni bila ya watazamaji. ====== ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) amesema kuwa wanakwenda kuifanyia kazi kauli ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli. Jana...
  20. HPAUL

    Ligi VPL kurejea hivi karibuni

    Kwa kauli niliyomsikia Rais wetu Dr. John Magufuli, dalili zote ligi kuu VPL itarejea hivi karibuni, amesema bado anapata ushauri wa wataalam wake, lakini angependa ligi irejee mapema kwani michezo ni afya, na ndio maana wanamichezo wengi hawapatwi na maradhi. Amesema angependa watu waione...
Back
Top Bottom