Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga msimu huu

HPAUL

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
410
567
Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
 
Simba tufukuze Mo Dewji na kikundi chake tutafute mdhamini wa uhakika!
Yanga wanachotuzidi ni uwepo wa GSM pale jangwani!!!

Yule jamaa anaitendea haki nafasi yake, na yupo pale kuhakikisha anaijenga yanga!

Sisi mhindi ukiangalia jinsi alivyojiweka pale unaona kabisa hayupo pale kwa maslahi ya Simba yupo kutengeneza pesa na kuinyonya klabu ya simba!

Ndio maana hakuna mchezaji mzuri anaweza akasajiriwa na simba kwa sasa hata mchezaji awe anahitaji kuichezea simba kwa namna gani!

Mabosi hawawezi kabisa kutoa hata mil 400 kununua mchezaji wa kueleweka! Tunasajiri Akpan, Mzungu then tunaambiwa UNSTOPABLE SIMBA NI WAPUMBAVU SANA
 
Timu inapaswa ijengwe upya.. Kuna lundo la wachezaji wengi mizigo pale Simba linatakiwa kuondolewa Kwa manufaa ya mda mrefu ya Simba..

Mpira ni uwekezaji endelevu.. ni kweli Mo dewji aliwekeza hapo mwanzo Simba na timu lifanya vizuri sio ndani tu paka nje ya mipaka ya nchi Simba iliwika sana.

Kwa sasa ni kama vile mwekezaji amepunguza au anasuasua kutoa fedha Simba,. Kwa maana nyingine anatoa fedha kidogo huku akiangalia zaidi timu ijiendeshe Kwa vyanzo vyake vya mapato..

Viongozi wa Simba wasijifichie kwa mafanikio ya timu kipindi cha nyuma wakati uhalisia timu ipo dhoofu bin hali.
Kama mwekezaji kaishiwa waweke wazi wadau wengine wenye mapenzi mema na Simba waokoe jahazi

Hata kimataifa sitegemei timu kufanya vizuri kwani njia iliyopitia kufika makundi ni njia nyepesi sana imekutana na timu dhaifu tu..

Na mwisho uchaguzi ujao wa Simba hapo mwezi February wanachama kachagueni viongozi watakaokuwa na uchungu na timu yenu na sio wataoenda kumsaidia Mo Dewji kutumia brand ya Simba kutangazia biashara zake..

Kumbukeni Mo Dewji Kila siku anazidi kuwa tajili hapa nchini wakati Simba S.C inazidi kupotea kwenye ushindani wa kabumbu hapa nchini

Haya ni maoni yangu binafsi mzee wa bwaksi... Mwana utopolo originoo
 
Simba tushawahi kua na team bora sana miaka ya karibuni ila haikufika ubora wa yanga wa msimu huu
Uto wapo kwenye dunia yao
Tunajifichia kwenye kimataifa tu wakitusua na uko tumeisha
Simba tujipange upya kwa msimu huu NBC Uto ni unstoppable
 
Simba tufukuze Mo Dewji na kikundi chake tutafute mdhamini wa uhakika!
Yanga wanachotuzidi ni uwepo wa GSM pale jangwani!!!

Yule jamaa anaitendea haki nafasi yake, na yupo pale kuhakikisha anaijenga yanga!

Sisi mhindi ukiangalia jinsi alivyojiweka pale unaona kabisa hayupo pale kwa maslahi ya Simba yupo kutengeneza pesa na kuinyonya klabu ya simba!

Ndio maana hakuna mchezaji mzuri anaweza akasajiriwa na simba kwa sasa hata mchezaji awe anahitaji kuichezea simba kwa namna gani!

Mabosi hawawezi kabisa kutoa hata mil 400 kununua mchezaji wa kueleweka! Tunasajiri Akpan, Mzungu then tunaambiwa UNSTOPABLE SIMBA NI WAPUMBAVU SANA
we are UNSTOPPABLE
 
Timu inapaswa ijengwe upya.. Kuna lundo la wachezaji wengi mizigo pale Simba linatakiwa kuondolewa Kwa manufaa ya mda mrefu ya Simba..

Mpira ni uwekezaji endelevu.. ni kweli Mo dewji aliwekeza hapo mwanzo Simba na timu lifanya vizuri sio ndani tu paka nje ya mipaka ya nchi Simba iliwika sana.

Kwa sasa ni kama vile mwekezaji amepunguza au anasuasua kutoa fedha Simba,. Kwa maana nyingine anatoa fedha kidogo huku akiangalia zaidi timu ijiendeshe Kwa vyanzo vyake vya mapato..

Viongozi wa Simba wasijifichie kwa mafanikio ya timu kipindi cha nyuma wakati uhalisia timu ipo dhoofu bin hali.
Kama mwekezaji kaishiwa waweke wazi wadau wengine wenye mapenzi mema na Simba waokoe jahazi

Hata kimataifa sitegemei timu kufanya vizuri kwani njia iliyopitia kufika makundi ni njia nyepesi sana imekutana na timu dhaifu tu..

Na mwisho uchaguzi ujao wa Simba hapo mwezi February wanachama kachagueni viongozi watakaokuwa na uchungu na timu yenu na sio wataoenda kumsaidia Mo Dewji kutumia brand ya Simba kutangazia biashara zake..

Kumbukeni Mo Dewji Kila siku anazidi kuwa tajili hapa nchini wakati Simba S.C inazidi kupotea kwenye ushindani wa kabumbu hapa nchini

Haya ni maoni yangu binafsi mzee wa bwaksi... Mwana utopolo originoo

Hata kimataifa sitegemei timu kufanya vizuri kwani njia iliyopitia kufika makundi ni njia nyepesi sana imekutana na timu dhaifu tu..

(Hili ndilo la msingi ilitakiwa walijue wote ndani ya Simba. Mkadanganywa na matokeo ya timu zile dhaifu)
 
Simba tufukuze Mo Dewji na kikundi chake tutafute mdhamini wa uhakika!
Yanga wanachotuzidi ni uwepo wa GSM pale jangwani!!!

Yule jamaa anaitendea haki nafasi yake, na yupo pale kuhakikisha anaijenga yanga!

Sisi mhindi ukiangalia jinsi alivyojiweka pale unaona kabisa hayupo pale kwa maslahi ya Simba yupo kutengeneza pesa na kuinyonya klabu ya simba!

Ndio maana hakuna mchezaji mzuri anaweza akasajiriwa na simba kwa sasa hata mchezaji awe anahitaji kuichezea simba kwa namna gani!

Mabosi hawawezi kabisa kutoa hata mil 400 kununua mchezaji wa kueleweka! Tunasajiri Akpan, Mzungu then tunaambiwa UNSTOPABLE SIMBA NI WAPUMBAVU SANA
Utaskia nye nye nye yanga wanatumia tigo pesa
 
Umetumia akili nyingi sana kutoa hoja za msingi, lakini ukajizima data kwenye "usajiri". Usajiri ndio nini?
 
Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
ni kweli
 
Back
Top Bottom