Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 626
- 1,618
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi.
Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye michuano ya kimataifa wameweza kuweka statement ya nguvu ndani ya misimu miwili kwa kukusanya point 31 kwenye rank za caf sio jambo dogo.
Ndani ya misimu miwili wamecheza fainali ya kombe la shirikisho barani afrika na kucheza robo fainali ya klabu bingwa barani afrika na kuondolewa kwa changamoto ya mikwaju ya penalty uku goli lao halali likikataliwa.
Yanga kacheza mechi zote 2 akiwa anawakosa wachezaji wake 3 muhimu uku Mamelod wakiwa full mkoko!
Yanga ajaruhusu goli lolote dhidi ya Mamelod timu ambayo ni Bora barani afrika kwa sasa wakiwa ni mabingwa wa AFL msimu huu.
Ni maboresho machache yanatakiwa kufanyika hasa kwenye Safu ya ushambuliaji ili kuleta balance kwenye mechi kubwa ambazo kupata nafasi moja ni muhimu kuitumia ipasavyo!
Yanga wanaonyesha mwanga na project yao inazidi kuwalipa wanasonga mbele Tena kwa Kasi ya kimondo wanaobeza waendelee kubeza wakija kushtuka watakuwa wamechelewa wenzao wanafanya kwa vitendo wao wanafanya kwa propaganda za mdomoni.
N;B waliofungwa nje ndani ni Bora wakae kimya maana manzoki aliyesajiliwa amewafungia magoli ya kutosha mpaka hapo walipofikia.