Duncan Nyoni Mrithi wa Chama

Ila Simba SC inawaingiza chaka wachambuzi wengi uchwara wa bongo, wanaotaja wao kuwa atatambulishwa anakuwa mwingine kabisa... Safi sana Simba SC, kwenye usajili utulivu unahitajika sana hakuna mbwembwe. Nimependa usiri kwenye taarifa nyingi sasa hivi.
 
Suhala sio kuwaingiza chaka kiukwel ata simba wenyewe wamevurugwa sana kwa sababu mbil kwanza usajil wa yanga unawapa wakat mgum sana simba kupata na wachezaj bora zaid ya wale wa yanga asa asa aucho na shaban djuma ,lkn pia kuna suhala la simba kuendelea kuwa bora kuliko uko nyuma apa lazma upate wachezaj bora zaidya uliokua nao je unawapata wap kwa araka araka.

ukija kuchanganya na aya mengine ya wachezaj kuondoka bas linazd kuwaumiza kichwa ni ukwel ulio waz msimu hautokuwa mzur sana kwa simba kupata mchezaj wachezaj wakaziba nafas za chama na luis ni kaz kubwa sana apo apo unatakiwa upate wachezaj wengine kwa ajir ya kuongeza ubora ikizingatiwa wapinzan washajua makosa yao na udhaifu wako lazma kichwa kikuume ndio maana unaona kama watu wanaingizwa chaka kumbe kuna pia mengine watu washavurugwa
 
Suhala sio kuwaingiza chaka kiukwel ata simba wenyewe wamevurugwa sana kwa sababu mbil kwanza usajil wa yanga unawapa wakat mgum sana simba kupata na wachezaj bora zaid ya wale wa yanga asa asa aucho na shaban djuma ,lkn pia kuna suhala la simba kuendelea kuwa bora kuliko uko nyuma apa lazma upate wachezaj bora zaidya uliokua nao je unawapata wap kwa araka araka...

Utopolo Bwana
 
Utopolo Bwana
Tatizo mashabik wa simba kuna muda ukwel hamuutak yan munaamin wachezaj wenu wa miaka hii minne mmewatoa sijui dunia yenu ata yanga kuna muda mashabik wake hawakutak kukubal ukwel kwamba timu yao sio nzur lawama zikawa tff na waamuz na simba wananunua mechi sasa kwa simba kwel walikua na timu nzur lakn wachezaj nao binadam kuna kushaka kiwango kuna timu zingine zinaweza kujipanga zikasajil wachezaj wazur kuliko simba pia kuna mambo kama aya ya baadh ya wachezaj umr kuwatupa mkono.

Wengine kuhama timu na mengne ukichanganya yote unakuja kuona timu inapita kipind fulan kigum japo ilikua nzur na ndio maana nzur karbu zote dunian ata zikichukua makombe bado zitatafuta wachezaj bora sio kwa ajir ya kuongeza kikosa tu pia na ubora kama simba wao ndo wanaamin wachezaj wao au wao tu ndio wenye jukum la kuwa na wachezaj bora sawa tutaona.

Na mm sio mpenz wa yanga mm ni simba ila kama viongoz wetu hawatakua makin msimu ujao hautakua mzur kwa mpaka sasa hiv sijaona usajir ambao unaweza kuitwa tumeongeza ubora
 
Ila Simba SC inawaingiza chaka wachambuzi wengi uchwara wa bongo, wanaotaja wao kuwa atatambulishwa anakuwa mwingine kabisa... Safi sana Simba SC, kwenye usajili utulivu unahitajika sana hakuna mbwembwe. Nimependa usiri kwenye taarifa nyingi sasa hivi.
hata mimi imenivutia sana hii. Hakuna mihemko,akili tu zinafanya kazi. Tazama Banda na Mhilu walivyotangazwa. Vidomodomo kama Ali Kamwe na Priva wanaonekana mafala tu
 
Suhala sio kuwaingiza chaka kiukwel ata simba wenyewe wamevurugwa sana kwa sababu mbil kwanza usajil wa yanga unawapa wakat mgum sana simba kupata na wachezaj bora zaid ya wale wa yanga asa asa aucho na shaban djuma ...
ungeanza kwa kuwaambia watu wewe ni Utopolo,itasaidia kuona mkeka wako kama ni wa kukaa au kuukanyaga na kwenda zako. Halafu mwambie mwalimu wako wa kiswahili akurudishie ada
 
Ila Simba SC inawaingiza chaka wachambuzi wengi uchwara wa bongo, wanaotaja wao kuwa atatambulishwa anakuwa mwingine kabisa... Safi sana Simba SC, kwenye usajili utulivu unahitajika sana hakuna mbwembwe. Nimependa usiri kwenye taarifa nyingi sasa hivi.
Banda alipostiwa humu wiki kadhaa nyuma kusajiliwa na Simba na ikawa kweli. Hilo unalizungumziaje?
 
Suhala sio kuwaingiza chaka kiukwel ata simba wenyewe wamevurugwa sana kwa sababu mbil kwanza usajil wa yanga unawapa wakat mgum sana simba kupata na wachezaj bora zaid ya wale wa yanga asa asa aucho na shaban djuma ,lkn pia kuna suhala la simba kuendelea kuwa bora kuliko uko nyuma apa lazma upate wachezaj bora zaidya uliokua nao je unawapata wap kwa araka araka ,ukija kuchanganya na aya mengine ya wachezaj kuondoka bas linazd kuwaumiza kichwa ni ukwel ulio waz msimu hautokuwa mzur sana kwa simba kupata mchezaj wachezaj wakaziba nafas za chama na luis ni kaz kubwa sana apo apo unatakiwa upate wachezaj wengine kwa ajir ya kuongeza ubora ikizingatiwa wapinzan washajua makosa yao na udhaifu wako lazma kichwa kikuume ndio maana unaona kama watu wanaingizwa chaka kumbe kuna pia mengine watu washavurugwa
Hilo ni SUHALA la araka araka
 
ungeanza kwa kuwaambia watu wewe ni Utopolo,itasaidia kuona mkeka wako kama ni wa kukaa au kuukanyaga na kwenda zako. Halafu mwambie mwalimu wako wa kiswahili akurudishie ada
Siwez kuwa shabik ambae kila kitu kwangu nione kizuri mm sio kiongozi simba wala sio mchezaj simba kusema nitanufaika tu ata kama timu itafanya vibaya kufanya vizur kwa simba ndio manufaa yangu sasa kama naona kuna ktu ambacho sio sawa nitasema kwa sababu hao viongoz au kamat ya usajil ya simba kuna binadam hawakos mapungufu wewe kama mpenz shabiki au mwanachama wa simba ambae kila kitu kwa simba unaona sawa iyo ni wewe ,wewe uliefaulu kiswahili umeandika kitabu gani cha shule ya msingi au chekechea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom