Search results

  1. Mohamedi Mtoi

    Salum Mwalim awataka wanafunzi SEKOMU wasisaliti wajibu wao

    Naibu katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalim amewakumbusha vijana nchini hususani walio vyuo vikuu wajibu wao wa kusimamia kupatikana kwa uhuru wa pili wa nchi wenye lengo la kuwakomboa watanzania kutoka katika maisha magumu. Mwalim ameyasema hayo jana mjini Lushoto wakati akiongoza...
  2. Mohamedi Mtoi

    Mkutano wa Dr. Slaa wafunika tena kanda ya Nyasa mkoa wa Rukwa

    Wakuu Leo tena katibu mkuu wa CHADEMA na kiboko ya MAFISADI Dr Willbroad Slaa ameendelea tena na shughuli za ukaguzi kwenye baadhi ya vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mkoani Rukwa na jioni ya leo amefanya mkutano mkubwa wa hadhara jimbo la Sumbawanga Mjini ili...
  3. Mohamedi Mtoi

    Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    Leo katibu mkuu wa CHADEMA Dr Willbroad Slaa amefanya mkutano mkubwa wa hadhara jimbo la Momba mkoani Mbeya. Mkutano huo umetanguliwa na shughuli za mchana kutwa za kukagua zoezi la uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kwenye maeneo mbalimbali ya jimbo hilo ambapo...
  4. Mohamedi Mtoi

    Kwa mujibu wa mjadala wa bungeni; Wanafunzi vyuo vikuu piganieni haki yenu ya kupiga kura 25 Oktoba

    Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2010 wengi wetu tukiwa vyuo vikuu hatukuweza kupata fursa ya kutumia haki yetu ya kidemokrasia naya kikatiba ya kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu huo, Serikali ya ccm ilifanya hila kwa kuhakikisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu hatupigi kura. Mwaka huu kumeanza kuwa na...
  5. Mohamedi Mtoi

    TAFAKURI CHOKONOZI: Namkumbusha Jenister Mhagama kuwa, ni kweli serikali ni ya Wachovu

    Jana Muishiwa (iko sahihi kabisa) JENISTER MHAGAMA alitoa povu baada ya mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani na mwanasheria nguli ambaye hana historia ya kushindwa kesi na ccm Mheshimiwa (iko sahihi) Tundu Lissu aliposema "...Serikali hii niya wachovu... " Muishiwa JENISTER MHAGAMA alitoa...
  6. Mohamedi Mtoi

    Hakuna anayeitwa bundi katua CHADEMA Kigoma: Ukweli kuhusu Ally Kisala

    Wakuu. Kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=847642 kuna uwongo wa kutungwa umeanzishwa kuhusu kamanda wetu wa Kigoma anaye itwa Ally Kissala. Ali Kissala ni nani ndani ya chama?! 1. Ally Kisala ni Diwani wa kata ya Mwandiga jimbo la Kigoma Kaskazini. 2. Ally Kissala...
  7. Mohamedi Mtoi

    Tundu Lissu afunika mkutano wa hamasa BVR Iringa Mjini

    Wakuu. Mheshimiwa Tundu Lissu yuko mkoani Iringa leo ambako zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura limeanza. Ameelekea Iringa mara baada ya kumaliza kikao cha kamati kuu jana usiku. Kwa kuwa serikali imepanga kufanya hila kwa kushindwa kutoa ratiba kamili ya...
  8. Mohamedi Mtoi

    Ambayo Mzee Said Arfi hakuyasema jana kwenye Hotmix ya EATV

    Jana kwenye mahojiano ya moja kwa moja baina yake na kituo cha EATV kwenye kipindi cha hotmix aliyekuwa makamu mwenyekiti wa- CHADEMA aliongea mengi kuhusiana na uwepo wake ndani ya CHADEMA lakini pia hatua zilizo chukuliwa dhidi ya ZZK na kusema kuwa uvumilivu na busara ingepeswa kuwepo kabla...
  9. Mohamedi Mtoi

    TAFAKURI CHOKONOZI: Baada ya Ugaidi nadhani CHADEMA tutasingiziwa kumiliki KIFARU cha kijeshi

    Wakuu Jana RPC wa Mbeya Bwana Ahmed Msangi ambaye pia kama mnamkumbuka alikuwa mtuhumiwa baada ya kutekwa na kuteswa ikiwa ni pamoja na kung'olewa kucha kwa koleo kwa Dr Stephen Ulimboka alitoa kituko cha mwaka ambacho wenye akili wanajua kuwa ni kuendeleza msaada wa kuisaidia ccm. Nakumbuka...
  10. Mohamedi Mtoi

    Updates: Uzinduzi wa mafunzo ya viongozi wa CHADEMA na timu za ushindi uchaguzi mkuu Oktoba 2015

    Wakuu. Muda huu ukumbi wa PTA hapa viwanja vya sabasaba kuna tukio kubwa sana la uzinduzi wa mafunzo ya viongozi wa chama na timu za ushindi kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015. Mpango huu unaanzia kanda ya Pwani ambapo viongozi wote wa chama na serikali za mitaa wamejumuika kupokea mafunzo...
  11. Mohamedi Mtoi

    Gazeti la Mwananchi na upotoshi kuhusu mfumo wa kanda wa CHADEMA

    Leo gazeti la Mwananchi kwenye habari yao yenye kichwa "Mkakati wa Chadema kuingia Ikulu" wameandika... ================== Ukweli kuhusu kanda na mambo matano ambayo mwananchi wamepotosha. 1. Uundwaji na mfumo wa kanda ulipitishwa na baraza kuu la Jan 2013, nia ikiwa kugatua madaraka...
  12. Mohamedi Mtoi

    Tafakuri Chokonozi: Mahakama imegeuka adui wa Zitto?

    Mahakama ndiyo kimbilio la wengi katika kutafuta haki katika jamii pale ambapo mtu anadhani ameonewa. Jana tumepata taarifa kuwa Mahakama Kuu Dar es Salaam imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Ndugu Zitto Kabwe. Mahakama imeamuru mlalamikaji kulipa gharama zote za shauri Hilo ambalo...
  13. Mohamedi Mtoi

    Freeman Mbowe akabidhi Tsh milioni 10 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Kahama

    Wakuu. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekabidhi mchango wa shilingi milioni 10 alioahidi jana kuwa utatolewa na chama alipokwenda kuwatembelea waathirika wa mafuriko hapa Kahama. Mchango wake ameukabidhi kwa mweka hazina wa kanda ya Serengeti ambaye pia ni diwani wa...
  14. Mohamedi Mtoi

    Hakuna vurugu kwenye kikao cha Mh. Mbowe kanda ya Serengeti

    Wakuu Kuna thread inaelezea uwepo wa vurugu kwenye kikao cha MH Mbowe hapa Kahama ikieleza kuwa fujo hizo zimesababishwa na ccm. Thread yenyewe ni hii hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/816507-kahama-ccm-wafanya-vurugu-kwenye-kikao-cha-mbowe.html#post12105342 Ukweli ni upi...
  15. Mohamedi Mtoi

    Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

    Wakuu. Leo unafanyika mkutano mkubwa wa hadhara kanda ya Serengeti hapa jimbo la Kahama. Ni mkutano ulioandaliwa na kanda ya Serengeti kabla ya kikao cha kamati tendaji ya kanda. Kanda hii inaundwa na mikoa ya Mara, shinyanga na mkoa mpya wa simiyu. Hoja zilizozungumzwa na Mwenyekiti...
  16. Mohamedi Mtoi

    Kikao cha wadau na watia nia wa kanda ya Magharibi

    Wakuu, Muda huu mwenyekiti wa chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe anakutana na wadau na watia nia wa kanda ya Magharibi hapa makao makuu ya kanda mkoani Tabora. Kanda hii inaundwa na mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi. Kikao hiki cha wadau na watia nia ni kikao maalumu cha kuwaunganisha...
  17. Mohamedi Mtoi

    Live: Mkutano wa CHADEMA uwanja wa town School Tabora

    Wakuu. Kama kawaida, muda huu tunafanya mkutano wa amsha amsha hapa makao makuu ya kanda ya Magharibi Tabora, kanda hii inaundwa na mikoa ya kigoma, Katavi na Tabora. Mkutano huu ni maalum kwa ajili kuamsha hamasa ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. Yanayojiri - Ukiingia...
  18. Mohamedi Mtoi

    Kikao cha baraza la uongozi wa kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora na Katavi)

    Wakuu. Leo mwenyekiti wa chama Taifa kamanda Freeman Mbowe yuko makao makuu ya kanda ya Magharibi inayoundwa na mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi kwenye kikao cha baraza la uongozi wa kanda kinachofanyika hapa makao makuu ya kanda mjini Tabora. Kikao cha leo ni muendelezo wa vikao vya...
  19. Mohamedi Mtoi

    Updates: Mbowe ndani ya Kanda ya Ziwa Victoria

    The Leo mwenyekiti wa chama Taifa kamanda Freeman Mbowe yuko kanda ya ziwa Victoria inayo undwa na mkoa wa Mwanza, Kagera na Geita kanda hii pia inafahamika kama kanda ya ziwa Magharibi, ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kuimarisha mfumo wa kanda za kichama chini ya CHADEMA. Ziara hii ni...
  20. Mohamedi Mtoi

    CCM ni mnufaika mkubwa wa ufadhiri wa UJERUMANI

    Wakuu kumekuwa na propaganda nyingi sana kuhusu CHADEMA kufadhiliwa na Ujerumani, Baadhi ya vyombo vya habari vya propaganda vya ccm vimekuwa mstari wa mbele kufanya propaganda chafu dhidi ya CHADEMA huku wakisahau kuwa ccm ni mnufaika mkubwa namba moja wa ufadhiri wa shirika la kijerumani...
Back
Top Bottom