Search results

  1. kichekoh

    Me & You

    Forever and always
  2. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
  3. kichekoh

    We are Friends: WhatsApp group.

    Habari; Ndani ya Jamii forum kuna kila aina tofauti tofauti za watu, na kila mtu ana umuhimu wake katika maisha yako. Nikiwa na maana ana msaada katika eneo fulani la maisha yako. Inafahamika jamii forum inatupa vyingi sana lakini tofauti iliyopo ndani ya kundi hili kutakua na zaidi ya kupeana...
  4. kichekoh

    Trump ataka kununua kisiwa cha Greenland.

    Kisiwa cha Greenland kimesema kwamba hakiuzwi baada ya rais Donald Trump wa Marekani kusema kwamba angependa Marekani kukinunua kisiwa hicho kikubwa duniani. Rais huyo alidaiwa kuzungumzia wazo hilo la kukinunua kisiwa hicho cha Greenland - eneo la Denmark linalojitawala katika chakula cha jioni...
  5. kichekoh

    Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili

    Habari, Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani. Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama vile; wanga, protein, vitamin, mafuta, n.k. Lakini hii bado haitoshi kuhitimisha kusema kwamba hapa...
  6. kichekoh

    App nzuri ya kublock sms na call

    Habari, Naomba kujuzwa application nzuri inayoweza kuzuia sms na calls za mtu uliyemkusudia. Kama inapatikana kwenye play store itakua vizuri zaidi. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
  7. kichekoh

    Kwa wanaohitaji makontena ya kununua.

    Kwa yeyote anaehitaji Kontena la kununua la futi 20 na futi 40 yapo yanapatikana. Kontena la futi 20 tunauza dola 1700 na la futi 40 tunauza dola 2600. Kama ni wewe ni dalali hakikisha unakuja na bosi kabisa, hatutaki longolongo. Utapewa full documents. Kwa mawasiliano 0782 821177.
  8. kichekoh

    UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

    Kuanzia tarehe 26/07/2018 usiku saa 7 hadi tarehe 19/08/2018 sayari ya Mercury inakua inazidiwa kasi na Dunia hivyo sayari ya Mercury kuonekana kama inarudi nyuma lakini kiuhalisia inakua inakwenda katika mwendo wake wa kawaida. Tukio kama hili kinajimu kinaitwa (Retrograde), na kwa sayari ya...
  9. kichekoh

    Elimu ya unajimu

    Najua kama tumetofautiana Imani, mitizamo pamoja masuala ya kiitikadi. Lakini nipo hapa kwa ajili ya wale wote wanaotaka kuisoma hii elimu na kuweza kuwasiadia wenyewe katika mambo yao binafsi. Mi nina kazi mbili tu kwenye unajimu ambazo ni kufundisha na kutoa ushauri kuhusiana na masuala ya...
  10. kichekoh

    Tuzo za Kili (KTMA) zimefutwa??

    Mpaka mwezi huu wa 8 kimya.. kunani? au ndo tunabana matumizi?
  11. kichekoh

    Tuzo za Kili (KTMA) zimefutwa??

    mpaka mwezi huu wa 8 kimya.. kunani? au ndo tunabana matumizi?
  12. kichekoh

    Mufti Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid kuwa ni Jumatano ya July 06

    Kama una taarifa za uhakika ziweke hapa.. ======== Updates; Taarifa ambayo imetolewa na Mufti Mkuu wa Tanzania Zubeir Bin Ally muda mfupi uliopita ni uthibitisho wa sikukuu ya Eid ul Fitr ambapo Waislam wote walikua wakisubiri kuandama kwa mwezi. Kwenye taarifa yake Muft Zubeir amesema Mwezi...
  13. kichekoh

    Mahusiano ya tende na mwezi mtukufu

    Huwa inanishangaza kwa kweli, matumiz ya tende mwez wa Ramadhan ni maradufu kulinganisha na miezi mingine. Huwa najiuliza hizi tende ni maalum wa Ramadhan tuu? au mwez huu huongezeka virutubisho? kwan mazoea ya kula tende hutujia kipindi cha mfungo tu? au zao la mtende huvunwa kwa wingi mwez wa...
  14. kichekoh

    Kitendawili: Msanii gani atakua wa kwanza kufanya video Kigamboni Bridge?

    Habari zenu, kama ilivyozoeleka wasanii hupendelea kutafuta location nzuri kwa ajili ya ubora wa kaz zao. Miongoni ya vivutio ndan ya jiji la Dar ni daraja la Kigamboni. Mi natabiri Diamond atakua kufanya shooting pale, nakaribisha ubashiri wako.
  15. kichekoh

    Nataka niwe nae, tatizo kikuku chake cha mguuni

    Kuna mwali nafukuzia na nimetokea kumuelewa lakini tatizo kile kikuku anachovaa mguuni. Kuna dhana zimejengeka kuhusu uvaaji wa vikuku wapo wanaosema kwamba demu akivaa vikuku anatoa ti
  16. kichekoh

    Nafsi ni kitu gani?

    Heshima kwenu wadau, nijuavyo mi ni kwamba binadamu ana mihimili mikuu mitatu. Kwanza ni roho, pili ni mwili na tatu ni nafsi. ROHO nafahamu ni ile pumzi ya uzima kutoka kwa mungu mwenyezi, ambayo ipo connected na Mungu mwenyewe. MWILI ni Physical appearance ya mtu ambayo inajumuisha milango...
  17. kichekoh

    Wauzaji na wanunuzi wa laptop tukutane hapa.

    weka specifications, bei, mawasiliano na mahal unapopatikana.
  18. kichekoh

    Nimejaribu nimeshindwa

    T
Back
Top Bottom