Kwa wanaohitaji makontena ya kununua.

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,248
1,439
Kwa yeyote anaehitaji Kontena la kununua la futi 20 na futi 40 yapo yanapatikana.

Kontena la futi 20 tunauza dola 1700 na la futi 40 tunauza dola 2600.

Kama ni wewe ni dalali hakikisha unakuja na bosi kabisa, hatutaki longolongo.
Utapewa full documents.

Kwa mawasiliano 0782 821177.
 
Weka picha tuone ubora wa container zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ubora wa Kontena haungaliwi kwenye picha, mtu anaweza ingia mtandaoni akaokota picha na kuziweka hapa, siku ya manunuzi unakuta kitu tofauti kabisa.
Kitu kingine hayo makontena kila siku yanaingia mapya na kuuzwa. Hivyo utakaloliona kwenye picha leo linaweza likauzwa kesho kabla hujalipata.
Suala ni kuchukua namba yangu tuwasiliane, utapelekwa mpaka utachagua unaoitaka na utapewa full documents.

Ni bora ukahakiki kwa kuona kwa sababu mengine yankua na matobo aambayo kwenye picha unaweza usiyaone.
 
Back
Top Bottom