Search results

  1. R

    Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Job Category 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Subcategory 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Description (Roles and Responsibilities) 1 Main purpose of job: BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
  2. R

    Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

    Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022. Naamini mmeanza Mwaka salama. Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa. Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi, ila mwanzoni mwa Mwaka Juzi 2020 nikajikuta nazoeana na aliyezaliwa 1995, dah msinicheke wadau huo mwaka tayari...
  3. R

    Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

    Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana. Na hapa ninaona kama ameonewa sana. Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu? Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa...
  4. R

    Hii ni dalili ya uzinzi? Je, inatokea kwa wanaume wote?

    Wakuu, juzi kati tulitoka kiofisi kwenda Mkoa mmoja hivi, kufanya project moja iliyodhaminiwa na Watu wa nje. Ofisini tulitoka watu kama Watatu, na hiyo kazi ilikuwa inahitaji watu wengi kidogo na ilichukua wiki 4 na zaidi kidogo. So kuna NGO kwenye huo mkoa ilikuwa imeshaandaa watu ambao...
  5. R

    Hapa ni wapi ndani ya mkoa wa Kilimanjaro?

    Atakayeweza kutambua hapa ni wapi, natoa Tsh. 10,000/= Chini nitakuwekea tena picha kurahisisha utambuzi zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    Sehemu nzuri zaidi kwa Tanzania

    Ni Moshi, Kilimanjaro Tanzania.
  7. R

    Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

    Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa. Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi. Tukutane hapa!! Nitaanza na mimi binafsi. Nilipokuwa chuo mwaka wa nne - 2006! Nilikuwa na demu wangu yeye alikuwa anasoma kozi ya...
  8. R

    Mara nyingine maisha ya ndoa ni Vita. Huyu jamaa sijui nimfanyeje?

    Nawasalimu sana Wakuu. Straight to the point. Nimeoa takribani miaka 9 imepita sasa. Nikiri sijawahi kuwa na mgogoro mkuubwa kivile kwenye ndoa yangu. Zaidi ya zile confusion za hapa na pale. Mke wangu anafanya kazi kwenye moja ya taasisi ya Afya, ya Serikali. Sehemu ambayo alianza kazi, miezi...
  9. R

    Mahusiano yasiyoisha kabisa

    Wakuu, hebu tujadiliane kidogo kwenye hili! Kuna mahusiano yasiyokufa kabisa, hata mtu akiingia kwenye ndoa. Kuna past zisizosahaulika kabisa? Let Share our Experience.
  10. R

    Wanawake wamekuwa warahisi sana siku hizi

    Nimenotice hichi kitu, kuanzia maofisini hadi mtaani.Kuna mabadiliko makubwa sana kwa wanawake wa kipindi hiki. Regardless ni wazuri sana compared na wakipindi cha nyuma kidogo, ni rahisi sana kunasa. Mapenzi yamekuwa kitu chepesi sana. Huwa namcheki wife sana dah na yeye ni mwanamke, sijui...
  11. R

    Je, Ni kweli Mungu ndio mwenye enzi yote?

    Wakuu, nimetafakari kwa muda kidogo! Sijapata majibu ya moja kwa moja juu ya hili la sisi wakristo kwenye baadhi ya Sala zetu tunatamka "Mungu Mwenye Enzi Yote"... Ikimaanisha Mungu mwenye Mamlaka yote... Hivi ni kweli Mungu ndio mwenye Mamlaka yote hapa Duniani? Je, shetani hana enzi yoyote...
  12. R

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Anazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo. Bro...umekosa hekima
  13. R

    Ulishampiga Mwanamke? Imeniuma sana...

    Wakuu heshima kwenu. Maisha yetu ya kazi yamejaa visa na mambo mengi sana... Sikuwahi kudhani kama ningekuja kumwadhibu mwanamke kwa kumpiga in my life, lakini imetokea na mbaya zaidi huyu dada anatake advantage kwenye hili kwasababu tu nimeamua kumwomba msamaha. Kuna dada kahamishiwa kitengo...
  14. R

    Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

    Talking from experience... Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba. Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run into conclusion na bado unaweza usimfurahie sana kwenye hayo mapenzi. Sio wote ila ni ukweli wadada...
  15. R

    Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

    Nazungumzia 1. Mji wa Moshi. 2. Mji wa Arusha... I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia. Type Amen. Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
  16. R

    Jumba refu zaidi Afrika mashariki lipo Tanzania!

    Nairobi acheni mayowe... PSPF Tower mpaka sasa ndio jengo refu zaidi Afrika ya Mashariki. Lina urefu wa mita 147.
  17. R

    Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

    Wakuu, Naandika hapa kama sehemu ya kuomba ushauri pia. I have my wife, over recently tumekuwa na mikwaruzano ya hapa na pale chanzo kikiwa ni yeye kwenda kinyume na utaratibu tuliojiwekea, hakuonyesha hata dalili zakuomba msamaha, ilinibidi nitumie nafasi kama Baba kujitenga kidogo nae...
  18. R

    Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Wadada wa kihaya ni wazuri sana. Niwaulize wadau hapa, je! uliwahi kukutana msichana yoyote wa kihaya asiyekuwa na mvuto?
  19. R

    Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

    Ha ha ha ha. Ngoja niseme kitu hapa, nimepitia pitia hapa na nimegundua machache haswaa kuhusu sisi ma underground! Nimeona hata tupige makelel kiasi gani hatuwezi kuwa maarufu kama walivyo wao. Mkuu Bitoz na team yako, ujue kelele sana ni fujo. haya mnatufanyia promotion sisi wageni lengo ni...
  20. R

    Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Wakuu haya mambo ya DNA najua yatakuwa yamewagusa wanaume wengi! Nina mwanangu mdogo ndiyo atauanza mwaka wa nne hapa duniani muda sio mrefu ni wakike. Nina uhakika ni wakwangu kwasababu tunafanana kwa kiasi kikubwa. Sikuwepo nyumbani kwa takribani siku 6. Nilitoka kikazi kidogo...
Back
Top Bottom