Wasukuma wamehamia miaka ya karibuni, na kwa upande mmoja wao wenyewe wanajitambilisha hivyo na wanapenda watambuliwe hivyo. Ila kiuhalisia watu kutoka Bara hutambuliwa kama ni Wanyamwezi...
Kwanza ni kujua aina ya wanaolalamika na uwezo wao kiuchumi. Hii itakuwa rahisi kuwapa location kadili ya ukubwa wa mfuko wao.
Aidha kwa haraka haraka, kama ulikuwa unakula kwa Mama Lishe kabla ya mfungo, ni Mama huyo huyo ambaye hutoa location kwa wateja wake ni wapi atapatika wakati wa...
Pasaka itakuwa nzuri tu hapa Visiwani... Si mnakumbuka kuwa tuliwahi kuwa na Tamasha rasmi la Pasaka, ambapo liliwakutanisha wafanyakazi wa serikali, makampuni na mashirika ya Umma kati ya Bara na Visiwani!
.
Hivyo ondoeni shaka. Leo ni Ijumaa Kuu, kulipokucha siku ilionekana kuwa ni Ijumaa...
Ya kitambo sana, huyo jamaa alikuwa ni tour guard... Na sasa keshaachana na kazi hiyo..
Huo mtaa wanamjua vizuri sana, na wasiwasi siku ya tukio alikuwa kazidisha dozi...
Bw. Lema kaenda mbali sana kwa mfano wake. Tanzania Visiwani wana STCDA(Stone Town Conservation and Development Authority) . Ambayo inasimamia Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Mji huu historia yake ni kuanzia karne ya 18. Kwa sasa ni kivutio cha utalii wa nje na wa ndani.
Jiji la Tanga linaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.