Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

Majengo ya kale yana muda gani? Kama ni kipindi cha mjerumani hiyo sio kale.

Mfano West Minister Abbey limejengwa 13 century ‘Henry the III’ akiwa mfalme bado kuna mambo mengi sana ya historia yamefanyikia kwenye kanisa, jumlisha watu mashuhuri waliozikwa humo ndani kings, queens, Isaac Newton na watu wengine muhimu, architecture ya miaka hiyo inaonyesha umahiri wajenzi wa muda huo.

Same Parliament ya UK, Big Ben, Royal Palaces na sehemu nyingine zinazotembelewa zina historical significant.

Ukienda Italy Collosium, The Vatican, Majengo ya Michael Angelo, kuna makanisa yana paints za watu mashuhuri kama Da Vinchi etc. Europę, Egypt, Israel, South America na duniani kote majengo ya kale yana cultural or religious or ancient significance kuvutia watalii.

Sasa hayo majengo ya Tanga yana historical significant gani ya kuvutia ‘culture tourism’ vinginevyo duniani kote kuna majengo ya kale. Lazima uwe na story ya kuvutia na hayo majengo ndio msingi wake.

Walau Kilwa kuna magofu ya msikiti wa kwanza na soko kuu la biashara ambalo lina miaka elfu kadhaa, eneo lenyewe lina historical significant kama stop over ya trade za Africa na dunia kabla ya hata biashara ya utumwa kuanza. But Tanga how do you sell it to the world.
Kwani miaka 100 na kuendelea huko mbele hayawezi kuja kuwa ya kale
Mbona tunakuwa wabinafsi sana
 
Kwani miaka 100 na kuendelea huko mbele hayawezi kuja kuwa ya kale
Mbona tunakuwa
To make something special, you gotta first make people believe it’s special.

Msingi wa ‘culture tourism’ ni elimu inayoambatana na jengo au eneo.

Majengo ya kale yamejaa kila sehemu Asia, Europę na America, lakini si kila jengo ni visitors attraction; kuna majengo mapya yanavutia wageni kushinda ya kale.

Muhimu ni hadithi unayoweza simulia, mfano majengo ya marehemu ‘Zaha Hadid’ mengi ni modern ila sasa hivi ni iconic yes ni mazuri (lakini yeye si architecture pekee mwenye majengo mazuri duniani) kwake kuna story ya marehemu kama mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Middle East kufanya project kubwa Europe, Asia na Americas, sijui she pioneered this and that style of architecture; kuna story to sell attached to her buildings.

Sasa Tanga kuna majengo ya kale yana significant story gani nyuma yake, story ndio inauza ‘culture tourism’ sio jengo tu kisa la kale.
 
Huyu kada wa CHADEMA na mnufaika wa michango ya Join The Chain, Godbless Lema, kaandika kitu cha maana sana huko Twitter (X). Ninamuunga mkono 100% kww maslahi mapana ya taifa. Kaandika hivi;
Angalau wewe ni Mwanccm mwenye fikra nzuri
 
Bw. Lema kaenda mbali sana kwa mfano wake. Tanzania Visiwani wana STCDA(Stone Town Conservation and Development Authority) . Ambayo inasimamia Mji Mkongwe wa Zanzibar.

Mji huu historia yake ni kuanzia karne ya 18. Kwa sasa ni kivutio cha utalii wa nje na wa ndani.

Jiji la Tanga linaweza kujifunza mengi hapo, juu ya uhifadhi wa miji ya kale. Zaidi wanaweza kujifunza toka Bagamoyo, Kilwa na miji mengine katika pwani ya mashariki.

Cha msingi ni kujua Mji wa Tanga umebeba historia ya aina gani hadi uwe na sifa ya kitalii.
 
Mimi Mwenyewe sijui Mji wa Tanga umeba historia gani zaidi ya ile ya Wagosi wa Kaya.
 
To make something special, you gotta first make people believe it’s special.

Msingi wa ‘culture tourism’ ni elimu inayoambatana na jengo au eneo.

Majengo ya kale yamejaa kila sehemu Asia, Europę na America, lakini si kila jengo ni visitors attraction; kuna majengo mapya yanavutia wageni kushinda ya kale.

Muhimu ni hadithi unayoweza simulia, mfano majengo ya marehemu ‘Zaha Hadid’ mengi ni modern ila sasa hivi ni iconic yes ni mazuri (lakini yeye si architecture pekee mwenye majengo mazuri duniani) kwake kuna story ya marehemu kama mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Middle East kufanya project kubwa Europe, Asia na Americas, sijui she pioneered this and that style of architecture; kuna story to sell attached to her buildings.

Sasa Tanga kuna majengo ya kale yana significant story gani nyuma yake, story ndio inauza ‘culture tourism’ sio jengo tu kisa la kale.
Cc MamaSamia2025
 
Achana nae huyo hata ukimuuliza ‘culture tourism’ kwa Kiswahili inaitwaje sana sana atakimbilia kukwambia ‘utalii wa utamaduni’ kwa kutasfiri moja kwa moja.

Na hilo neno ‘culture tourism’ si ajabu ndio analisikia kwa mara ya kwanza. Kwenye kichwa chake watu wanaenda tu kutembelea maeneo bila umuhimu wa story iliyonyuma yake.
 
Majengo ya kale yana muda gani? Kama ni kipindi cha mjerumani hiyo sio kale.

Mfano West Minister Abbey limejengwa 13 century ‘Henry the III’ akiwa mfalme bado kuna mambo mengi sana ya historia yamefanyikia kwenye kanisa, jumlisha watu mashuhuri waliozikwa humo ndani kings, queens, Isaac Newton na watu wengine muhimu, architecture ya miaka hiyo inaonyesha umahiri wajenzi wa muda huo.

Same Parliament ya UK, Big Ben, Royal Palaces na sehemu nyingine zinazotembelewa zina historical significant.

Ukienda Italy Collosium, The Vatican, Sisten Chapel, majengo ya Michelangelo, kuna makanisa yana paints za watu mashuhuri kama Da Vinchi etc. Europę, Egypt, Israel, Iran, South America na duniani kote majengo ya kale yana cultural or religious or ancient significance kuvutia watalii.

Sasa hayo majengo ya Tanga yana historical significant gani ya kuvutia ‘culture tourism’ vinginevyo duniani kote kuna majengo ya kale. Lazima uwe na story ya kuvutia na hayo majengo ndio msingi wake.

Walau Kilwa kuna magofu ya msikiti wa kwanza na soko kuu la biashara ambalo lina miaka elfu kadhaa, eneo lenyewe lina historical significant kama stop over ya trade za Africa na dunia kabla ya hata biashara ya utumwa kuanza. But Tanga how do you sell it to the world.
Exactly, kama tu Kilimanjaro na maajabu yake, sijui....mbuga za wanyama etc hazijafurikisha watalii Tanzania nidhahiri utalii sio wakutegemea kivile kuinua nchi.
 
Utalii unaweza changia kwenye uchumi lakini unahitaji kwanza supporting industries, marketing strategy sahihi na uhakika wa usalama. Sio mzungu akienda kariakoo peke yake afikirie vibaka inakuwaje mkoba wake.

Mbuga za wanyama hasa Serengeti kwa Sasa inajiuza yenyewe sidhani kama kuna mbuga maarufu duniani kuzidi serengeti (nature tourism)au kwa africa sidhani kama kuna mlima maarufu zaidi ya Kilimanjaro (mountain climbing tourism).

Sio kila aina ya utalii ni wa kila mtu, kila mmoja una selling point zake na kuna ushindani duniani wa kuvutia watu kwenye kila aina ya utalii waende kwao (hiyo story nyingine ndefu).

Utalii wa majiji au culture tourism na wenyewe una vigezo vyake. Sasa sisi waafrica tukienda ulaya nakuona majengo fulani yamewekewa regulation ayatakiwi kuvunjwa basi ni kwa sababu ya utalii, hapana not always the case. Maeneo mengine hayavunjwi kwa sababu ya kulinda landscape tu ya eneo hata kama watalii hawafiki.

Sio kama sisi eneo la residential area limejaa nyumba nyingi ni level au ghorofa moja. Eneo likipanda thamani watu wanauza, wanunuzi wanavunja na kupandisha flats, sijui kujenga maofisi matokeo yake mikocheni na masaki wameiharibu. Wazungu hawataki hayo mambo kuna maeneo wanataka mandhari zibaki kwa matumizi yake ya miaka yote ndio maana majengo yanalindwa sio kwa sababu ya utalii tu.

Ukienda uingereza vijijini kuna nyumba zinamiaka elfu kadhaa zingine zina paa za kuti na hakuna hata wageni wanaofika huko lakini ukinunua uruhusiwi kufanya structure change zaidi ya cosmetic za ndani tu sasa hayo masharti sio kwa sababu ya utalii ni kulinda landscape ya eneo tu.
 
Minadhani pia watalii huwa wanaenda sehemu waliyotarget regardless marketing etc. Yani sehemu wenye mahusiano yenye maslahi. Ukiwa karibu nao wanawapa code na wenzao inakuwa kama target. Ndomana binafsi naona kama sekta ya utalii ni kama game tu. Hivo sioni sababu kutumia nguvu kubwa kuwekeza sekta zinazotegemea hisia za watu kupata faida.
 
Ushawishi ni muhimu sana wana mbinu balaa sijui ukipanda ndege una pata miles points unaweza badilisha kama hela ukapunguziwa ukifikia hotel fulani, hotel yenyewe nayo uki book culture event kupitia kwao wana offer ya wewe kupunguziwa kiingilio.

Maeneo yao yapo kwenye news, cinema kama icon, unakuta art ina documentary.

There is a lot of activities kwenye kutoa elimu wanaweza nunua nakala ya news article au magazine mwandishi aandike article au magazine ya (ya natural, hotel, science, architecture or whatever) kuhusu jambo fulani la eneo kama habari ya kawaida lakini lengo la siri ni ku-raise awareness unasoma bila ya kujua dhumunj halisi.

Mfano gazeti la nature duniani huko linaweza simulia msimu wa uzazi serengeti na jinsi unavyoleta faida kwa wanyama wote na kukusanyika eneo moja au sijui migration ya nyumbu. We unasoma kama vile unapata knowledge lakini pia ni ku-raise awareness kwao kwa sababu kusoma kwako ndio kuna węża kukufanya uende serengeti bila ya kuona tangazo.

Mbinu ni nyingi yes kuna maeneo yanajiuza yenyewe kwa sababu reputation yake ishakuwa general knowledge. Lakini otherwise wanashindana sana na mbinu luluki zingine unaingizwa mtegoni bila ya kufahamu.

Ndio mtu anapanda ndege mwenye kwenda Paris akifika huko anataka kwenda kuona Eiffel Tower bila ya kuambiwa na mtu, kisa keshaona kwenye sinema, au kasoma sehemu ni ishara ya upendo au anapanda ndege kwenda India sababu ya kuona Taj Mahal kisa indirect marketing techniques. Vita mbinu na marketing ni hadithi ndefu.
 
Ushawishi ni muhimu sana wana mbinu balaa sijui ukipanda ndege una pata miles points unaweza badilisha kama hela ukapunguziwa ukifikia hotel fulani, hotel yenyewe nayo uki book culture event kupitia kwao wana offer ya wewe kupunguziwa kiingilio.

Maeneo yao yapo kwenye news, cinema kama icon, unakuta art ina documentary.

There is a lot of activities kwenye kutoa elimu wanaweza nunua nakala ya news article au magazine mwandishi aandike article au magazine ya (ya natural, hotel, science, architecture or whatever) kuhusu jambo fulani la eneo kama habari ya kawaida lakini lengo la siri ni ku-raise awareness unasoma bila ya kujua dhumunj halisi.

Mfano gazeti la nature duniani huko linaweza simulia msimu wa uzazi serengeti na jinsi unavyoleta faida kwa wanyama wote na kukusanyika eneo moja au sijui migration ya nyumbu. We unasoma kama vile unapata knowledge lakini pia ni ku-raise awareness kwao kwa sababu kusoma kwako ndio kuna węża kukufanya uende serengeti bila ya kuona tangazo.

Mbinu ni nyingi yes kuna maeneo yanajiuza yenyewe kwa sababu reputation yake ishakuwa general knowledge. Lakini otherwise wanashindana sana na mbinu luluki zingine unaingizwa mtegoni bila ya kufahamu.
Biashara ya utalii inategemea sana "word of mouth" hivo unaweza kupanda juu dakika na kushuka vivo hivo. Ndomana binafsi sioni sababu ya kuwekeza Kwa nguvu kubwa eneo hili. Unaweza kujibrand Kwa mamilioni halafu mtu mmoja anakuja na strategy yakukuchafua biashara yote inadorora. Kama ilivokuwa kipindi Cha Magufuli hapa Tanzania. Unless uwe connected na walengwa iwe win-win uwape chao nawao wakupe chao.
 
Vita mbinu muhimu ni kujua vitu gani vinauzika duniani na vipi ni kutupa hela hata ukivifanyia marketing kubwa.
 
Back
Top Bottom