Mimi ndio nawategemea nyie ndugu zanguJackal moneytalk Its Pancho Kibunango
Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
mwendo wa marudio tu mwezi mzimaJackal moneytalk Its Pancho Kibunango
Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
Kha! Wanaboa sasamwendo wa marudio tu mwezi mzima
Ni mwendo wa marudio nduguMimi ndio nawategemea nyie ndugu zangu
wanarudia rudia tu ndugu tanguJackal moneytalk Its Pancho Kibunango
Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyeshawanarudia rudia tu ndugu tangu
bora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyesha
sindo hapo sasa wanasema ety dkk 30 waapi.. geresha tubora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10
ooh sawaNi marudio tu sema hivi karibuni sijaangalia ka wameendeleza
Juzi nilichungulia kidogo.... Bado wapo kwenye marudio!UZALO ni upuuzi mtupu sijaangalia sasa miezi kibao baada ya kupoteza muda kusuburi muendelezo zaidi ya mwezi .....mpaka hapo ITV is useless to me
Hata sijui pa kuanzia.... Labda kwenye social media zao unaweza kuacha comments juu ya hilo.,Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel
nimeshawahi kutafuta source zingine nikikosa, nikaja kuona kwenye Chanel moja hivi ya SA mwaka juzi but ipo inaendelea mpaka leoJamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel
nilikua naangalia itv kwasababu ya uzalo ila sasa hivi siangalii tena,pole dearJamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel