Search results

  1. youngkato

    Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  2. youngkato

    Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

    Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana Nitaanza na mfano 1. Kidimbwi 2. Toroka uje Weka jina unalofahamu
  3. youngkato

    Jifunze writing skills

    If you master writing skills You become Expert on 1. Writing proposal 2. Writing articles 3. Writing cover letter 4. Writing social media posts 5. Writing WhatsApp status 6. Writing threads 7. Writing sales letter 8. Blog posts 9. Story writing 10. Ghost writing
  4. youngkato

    Kupata $1 mpaka $5 kwa siku Ni rahisi ukijifunza hizi skills

    Kupata $1 mpaka $5 kwa siku Ni rahisi ukijifunza hizi skills 1. Audience building 2. Copywriting 3. Sales & Closing 4. Offer creation 5. Affiliate marketing 6. Content creation 7. WhatsApp marketing 8. Persuasion and attention Zitakusaidia kuuza products nyingi online
  5. youngkato

    Point 40 zitakazokusaidia ufanikiwe haraka kwenye freelancing

    Point 40 zitakazokusaidia ufanikiwe haraka kwenye freelancing. Zote ni muhimu sana, Ukuzingatia Ni rahisi sana kupata maokoto yako 1. Chagua niche (industry) ambayo ina demand kubwa ya wataalam na ushindani wake ni mdogo sana Mfano AI, Blockchain, renewable energy, real estate etc 2...
  6. youngkato

    Kazi ya kuuza vifurushi na line za lipa tigo

    Nafasi za kazi Tigopesa Unapewa access na training ya kuuza vifurushi na line za lipa namba Nenda ofisi za tigo shop Tabata bima Ukifika Tigo shop Tabata bima Mpigie simu muhusika 0675764477 Atakusaidia Au mtafute WhatsApp akupatie utaratibu Wa kuunganishwa. Ni bure kabisa Fika ofisini...
  7. youngkato

    Kuwa makini na hii scam

    Kuna scam moja inatrend Kuna watu wanajifanya Indonesia (japo ni jirani zetu) Wanawacheki watu WhatsApp, wanapanga na task za YouTube likes wanawalipa buku buku Badae wananogewa wanaingia kwenye mtego wa ku deposit pesa kubwa Nimepokea kesi nyingi WhatsApp No easy money
  8. youngkato

    Kwanini watu wenye digital skills wanashindwa kuzitumia?

    Kujifunza skills Kusoma kozi Kupata certficate Sio guarantee pekee ya kupata kazi online Lazima ujue pia kufanya marketing ya hizo skills Kutafuta clients, kuwafikia clients walipo. Mwisho wa siku ujue kuziuza
  9. youngkato

    Picha za kuchora za watoto wanaokimbizwa

    Midjourney ngoja nizitengeneze
  10. youngkato

    JamiiForums Usiku wa manane

    50 = 75
  11. youngkato

    JamiiForums Usiku wa manane

    2.27
  12. youngkato

    Kazi ya shanga kiunoni kwa wamama ni ipi?

    Shanga kitaalamu Kwa mtoto mdogo huwa anafungwa kamba kiunoni hiyo kamba inafungwa dawa au mkaa au kitu chochote cha baharini kwa ajili ya ulinzi Kwa mwanamke shanga anakuwa amefunga madawa yake ili akukamate vizuri Huwezi kuyaona kwa macho ya kawaida Ila mwanamke anayevaa shanga kwenda kwa...
  13. youngkato

    Mjane wa Augustino Mrema ajumuishwa kwenye mirathi

    Hivi mtoto kama kazialiwa nje ya ndoa ila hajawahi kutambulishwa kwenye familia au kuletwa na baba yake anatambulika kwenye mirathi?
  14. youngkato

    Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

    Sumu zipo lakini Tunaogopa kuacha laana kwenye ukoo Ukijiua wewe kizazi chako chote watakuwa wanajiua wote
  15. youngkato

    Ni sahihi kuuza viwanja mashamba ili kumsomesha mtoto chuo?

    Wakuu kuna ndugu yangu mmoja. Ana mtoto wa kike amemaliza kidato cha sita, amepata nafasi ya kwenda chuo lakini amekosa mkopo. Wazazi wake hawana pesa kabisa ila wana viwanja (kijijini kwao) na mashamba ila hayana thamani kubwa sana. Sasa wao wanaona kama chuo ni kutoboa maisha mwanamke...
Back
Top Bottom