Search results

  1. Njaa

    Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
  2. Njaa

    Msaada: Facebook account locked

    Wanajamvi naomba msaada: Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati...
  3. Njaa

    Msaada: Mtoto hataki kutumia potty

    Hello wanajamvi Naomba ushauri kwenye hili: Nipo kwenye malezi ya mtoto wa miezi 14, kwa bahati mbaya huyu mtoto amekuwa akitumia diapers (pampers) tangu kuzaliwa kwake hadi hivi sasa. Kwa muda wote huo amekuwa akijisaidia kwenye hizo diapers. Muda ulipofika wa kumfundisha kutumia pot au kukaa...
  4. Njaa

    Natafuta baby's car seat

    Hello wanajamvi Vyuma vimekaza lakini bado tunakomaa na malezi! Natafuta baby car seat, umri ni kuanzia mwaka mmoja. Najua wengi mmelea na sasa hizo kitu zipo tu stoo zinabwia vumbi. Mwenye nayo anicheki inbox tuongee kama wazazi
  5. Njaa

    Free channels (channels za bure) kwenye smart tv

    Wakuu Kulikuwa na habari kuwa ukiwa na smart tv unaweza kuangalia channes kadhaa hasa za ndani bure kabisa kwa kutumia antena ya kawaida. Kwa sasa nina smart tv ya sony bravia na hali ipo hivi:- Nimesearch digital tv na kufanikiwa kuziona channels zote za startime, lakini inayofanya kazi ni ile...
  6. Njaa

    Natafuta gari please...!

    Wanajamvi..... Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110, PREMIO au BREVIS, na VEROSA Gari iwe na namba C au D...., iwe kwenye ubora! Vyuma vimekaza jamani...
  7. Njaa

    Shavu hilo wadau

    JOB OPPORTUNITY SUA INCOME GENERATION AND SERVICES COMPANY LTD is a distinct legal entity owned by Sokoine University of Agriculture (SUA). The main objective of the Company is to promote and enhance income generating activities within various production and services units of the University so...
  8. Njaa

    Swali gumu

    Inabidi kusoma ramani hapo kifuani ili ufanye ''smart gues''
  9. Njaa

    Kupatwa kwa jua [Solar eclipse] - swali

    Hello great thinkers Nilisoma geography siku za nyuma, niliambiwa na mwalimu wangu wa shule ya kata kuwa, kupatwa kwa jua hutokea pale mwezi unapokuwa katikati ya dunia na jua, hii hufanya jua kuzibwa na mwezi kwa kiasi fulani na kutengeneza kitu kama kivuli kwenye uso wa jua. Inapotea hali...
  10. Njaa

    msaada please

    Kuna mtu kaniomba nimsaidie ada, nilipomuomba matokeo yake ya kidato cha nne akanipa namba ya mtihani nikacheki matokeo NECTA. Ila kule hakuna majina, ni namba tu..., je kuna jinsi ya kujua jina la mtahiniwa? ishu ni kuwa simuamini huyu kijana na kwa sasa nipo nje ya nchi. Msaada please!
  11. Njaa

    Kazi hizo COSTECH

    Gonga hapa Njaa
  12. Njaa

    Kwa wenye elimu ya kilimo na ufugaji - kazi hizo

    JOB OPPORTUNITY FOR MGOLOLE AGRO-PROCESSING COMPANY-LTD About the Company Mgolole Agro-processing Company Ltd is an agribusiness company registered in Tanzania for the purpose of farming and food processing. The company owns a number of medium sized farms in the Mgolole area of Morogoro...
  13. Njaa

    Msaada wa mawazo, Please

    Hello wana-jamvi, naombeni mawazo katika hili Nilinunua kiwanja huko Pugu kinyamwezi, nikajenga kajumba kangu kwa kuunga unga, kwa sababu uwanja wenyewe ni mdogo, shimo la choo (septic tank) nikaamua kujenga kwa mbele ya nyumba (ndani ya uzio). Sasa tatizo ni hili:- Maeneo yale, water table...
  14. Njaa

    Pata maarifa hapa ya dunia na mamilion ya sayari zingine katika picha

    Wakuu, humu JF nilikuwa napata story kuhusu sayari na nyota (solar system). Ilikuwa ngumu kuelewa kuwa jua letu ni mojawapo kati ya mamilion ya nyota (majua) na dunia yetu ni mojawapo ya mabilioni ya sayari (planets). Kwa kuangalia picha hizi nimepata uelewa mkubwa sana tena kwa urahisi sana...
  15. Njaa

    President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

    Alipopewa honorary doctorate basi ikawa initial rasmi Dr. Kikwete mpaka ikawa inaboa......, sasa kapewa honoray professorship huko china. Anzeni kumwita Prof. Kikwete tuone.... Hata maji marefu nae ni Professor, kuna prof. Jay wa mitulinga, kuna Dr. Cheni...., sio mbaya kuwa na Prof. Kikwete...
  16. Njaa

    Nataka kuezeka nyumba hii - Mrejesho

    -------
  17. Njaa

    Fresh juicy with bits and without bits

    Hello wanajamvi, google search imeshindwa kunipa jibu ya hii kitu. Nimeanda supermarket leo nimekutana juice ya chungwa ambayo zingine zimeandikwa ''WITH JUICY BITS'' na zingine zimeandikwa ''WITHOUT JUICY BITS'' zote ni note from concentrate and pure (100% orange juice). Naomba kujulishwa...
  18. Njaa

    Msaada: Nataka kuezeka nyumba hii

    Wanajamvi.... Nimefanikiwa kufika hapa kwenye mambo ya ujenzi pembezoni mwa jiji...., baada ya kusimama kwa muda sasa nimepata 4.2 milion kwa ajili ya kuezeka. Napenda sana zile bati za rangi zenye migongo midogo ingawa salio ndo hilo bovu. Naomba ushauri kwa haya yafuatayo:- Je hizo hela...
  19. Njaa

    Penis enlarger, be careful

    An insecure shopper who paid $1000 for penis enlarger online thought all of his worries would go away when a well packed parcel arrived. The guy opened it only to find the magnifying glass with just one simple instruction: DO NOT USE IN SUNLIGHT Hahahah, can you blame the seller? I...
  20. Njaa

    Majibu ya makonda wa daladala za Dar - noma

    Haya ni baadhi ya majibu ya makonda wa daladala hapa Dar ambayo yamewahi nichekesha sana, weka yako... Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga? Wekeni nyimbo za yesu.. "Konda: "Vunga wewe, Yesu bado hajatoa album..." Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu? "Konda: "We taahira nini,hao wengine...
Back
Top Bottom