Search results

  1. Makox

    Nilitengenezewa zengwe na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi

    Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF. Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI WA MWANAFUNZI MPAKA NIKAFUKUZWA KAZI". Nimeona nisikae tu kimya bila kuwafahamisha...
  2. Makox

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Mimi ni Mtanzania mwezenu, nimeandika na kuweka katika jukwaa hili ili niweze kujengewa uwezo na ushauri na yeyote atakayeguswa na habari yangu; kama kuna sehemu haitaeleweka nipo kwa ajili ya ufafanuzi. Tafadhari siyo sawa kutumia lugha za matusi, kejeli na dharau kwani kila mtu ana changamoto...
  3. Makox

    Hali halisi ya ajira ya Ualimu Tanzania

    KUMBUKUMBU Ni heri kukumbuka kwa kuwa tunao ubongo, mwezi march 2013 ndipo ilianza safari, ni safari ya Abunuasi ya kusubir kustaafu! Naacha ndugu zangu, na mali zao za thamaniiii, mashamba na vinyungu nikiwa ni mwenye nguvu. Siendi tena site kwenye kazi zangu za ujenzi kwa Santona naachana na...
  4. Makox

    Mimi ni Mwalimu naomba msaada wa kupewa Syllabus ya Somo la English wa A-Level

    I am an advanced level English language teacher, I don't have a syllabus; any one with it please may you upload it!
  5. Makox

    Computer Problem

    My computer writes Ctrl+Alt+Del Help me to make it oky
Back
Top Bottom