Search results

  1. C

    Marejesho Mimi ni software Developer mwenye idea aje tulifanyie kazi

    Wakuu kwema? kuna Post yangu nilileta hapa kuwa kama una idea yeyote tuje tuifanyie kazi for free bila malipo yeyote Nimefunga huu mjadala rasmi.. sipokei tena maombi nimepokea request nyingi saana nyingine nimezikubali na nyingingine nimezikataa kuna watu nimefanya nao kazi huku...
  2. C

    Msaada Wapi naweza pata huduma ya VPS hosting

    Wakuu kwema? Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online Please nitashukuru sana
  3. C

    Sio Kila mtu tapeli ujuaji unatusumbua huku

    Nimeleta nyuzi kadhaa kuhusu programming watu hawanijui na Wala hawajawahi kuniona anaongea if anakufahamu Kuna watu baadhi yenu huku mnanifahamu na tulishawahi kuonana live tuka discuss na tunafundushana
  4. C

    Msaada nitengeneze app ya aina li niweze kupata hela?

    Wakuu kwema? Mimi ni full stack developer nataka nitengeneze mobile app ili niweze kupata hela baada ya mda mfupi Naombeni mawazo yenu
  5. C

    Nafundisha Programming kwa bei nzuri

    Wakuu kwema Nafundisha Programming kwa bei rahisi saana nafundisha language zifuatazo. 1.PHP 2.JAVASCRIPT 3.HTML 4.CSS 5.REACT NATIVE IN DEEP DOWN 6.EXPRESS JS 7.LARAVEL IN DEEP DOWN 8.CODEIGNTER IN DEEP DOWN 9.MYSQL IN DEEP DOWN 1.PHP php tutajifunza Array, If else statement Function Loop...
  6. C

    Je illuminati ni watu wa aina gani? soma hapa uweze kuwatmbua

    The original Illuminati were a Bavarian secret society founded in 1776. Their stated goals were, to coin a phrase, “woke”—to eliminate superstition, religious influence over public life, and the abuse of power by the state and the wealthy. Naturally, they were banned almost immediately, and the...
  7. C

    Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5 ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS, pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring. lengo la...
  8. C

    Hodi Hodi: Full stack programmer

    Wana Tech Kwema? Mimi ni full stack programmer Nafanya Web, na Mobile Nafahamu languages zifuatazo 1.PHP 2.Javascript 3.Java 4.Kotlin 5.mysql 6. Na kidogo flutter Mimi sio mzuri Sana kwenye CSS Nafahamu frameworks zifuatazo 1.laravel and Codeigniter 2.Spring 3.express js 4.jquery 5.Na...
  9. C

    Natafuta mtu anayefahamu laravel vizuri kabisa

    Wakuu kwema? Aisee natafuta mtu anayeifahamu laravel vizuri kabisa hasa ORM. Kuna kazi nataka tushirikiane naye malipo yapo. NOTE: KAZI TUTAFANYA WOTE KWA KUSHIRIKIANA KWA UKARIBU ZAIDI PIA HAKIKISHA UNAFAHAMU KWELI LARAVEL NA SIO KUBAHATISHA NATAKA REAL COMPTENT NA SIO MTU WA KUBAHATISHA...
  10. C

    Niulize chochote kuhusu programming language

    Wadau kwema Niulize chochote kuhusu programming language 1.PHp 2 javascript 3.mysqli Additional java. Jquery na ajax. Karibuni. Updated: Programming language ni kitu haswa? Wewe unaelewa nini kuhusu programming languages? Kaa hapa hapa utajifunza mengi. Programming languages ni...
  11. C

    Speed ya halotel ni hatari saana

    Halotel wako vizuri mnoo speed inasoma 35.8 mbsp
  12. C

    Mimi ni member mkongwe sana ila cha kushangaza...

    Mko poa Mimi nipo humu tokea January 13 2014.mpaka leo ila sina zaidi ya post 7 mimi ni nani? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom