Search results

  1. J

    Msaada: Jamaa kanitapeli simu baada ya kuweka leani kwake.

    Nataka nikamshtaki jamaa mmoja baada ya kumpa simu yangu leani kwa elfu20. Akaniambia angetoka na kurudi baada ya cku kumi, lakni jamaa alikaa hadi cku 30.Alipo fika jamaa hakuwa na cm zaidi ya hapo nikaambulia swaga za kila cku. Na risit ya ile cm ninayo, nataka nikamshtaki ili anilipe cm...
  2. J

    Mwenye uelewa anisaidie tofauti ya raia na Mwananchi

    Jamani huwa nashndwa kujua au kutofautisha kti ya neno RAIA na MWANANCHI. Hebu nipeni ufafanunuzi.
  3. J

    Nifanyeje, nimeanza biashara yangu parachichi zimeharibika

    Nimeanzisha kameza ka kuuza parachichi lakini yote yameoza na kamtaji kamekufa,zilizo oza ni zile parachichi kijani. Naombeni ushauri.
  4. J

    Ushauri wenu ndo utaniweka huru!!

    Nilifanya biashara na jamaa yangu nikiwa kama mcmamiz mkuu,lakni baadae nikajikuta nina los ambayo mwenyewe ckujua imetoka wap.Ndipo niliamua kukimbia bila yeye taarifa lakni ktkt mtaji wetu tulio kuwa nao,nilimwachia na vifaa vya kaz ambavyo ni vyangu.Je?kisheria aknishtak nitatiwa hatiani...
  5. J

    Nikweli ama siyo kweli kama kweli je?mlengwa ni nani?

    Ndg zangu wana jf msaada kwa hii ndoto kuna wazee wawili hapa mjini wana magari ya kufanana tofauti ni rangitu.Sasa ndoto imenijia ucku kati ya hao wazee mmoja akawa amegongwa na gari lake baada ya kudodoka,wakati anarudi rivas lakni ktk ndoto hajafa,bali alipelekwa hospital.Hapa tena ndoto hii...
  6. J

    Hii picha inanichanganya jamani!

    Jamani nimekwenda bank nmb kuangalia salio langu japo nilijua sina salio.Lakni cha ajabu ninapo weka kwa m-pesa inaniambia salio halitoshelez wakati kwenye m-pesa nina salio.Sasa nilipo piha customer care pande zote wananiambia iko shwari je? vip kuhusu hii picha kwenye rist? ninamuda mrefu c...
  7. J

    Unajua kingereza kilivyo iba neno la kijita?

    Wazungu walivyo koswa neno "any one" wakaiba neno la kijita "ANYONE" likiwa na maana ya "namimi" huku wao wakimaanisha "yeyote" hebu twmbie kikwenukwenu wameiba neno gani?
  8. J

    Nimetumwa hili swali kutoka facebook.

    Waungwana jf hukokwetu fb watu wanalilia like na comment wanapo weka stutus, eti huku kwenu jf muna hamu nanini unapo andika thread?
  9. J

    Msaada jamani kwa anae fahamu.

    Nahtaji kitambulisho cha mpigakura naweza kukipata wapi maana nilipoteza kile cha kwanza au mpaka kusubiri daftari la kudumu la wapiga kura ni hlotu,wana JF.
  10. J

    Nimetokewa na mauza uza kazini kwangu, naomba ushauri

    Nilitokewa na mtu akiwa ni mwanamke aliye kuwa amejifunga kiremba che ----- dukani kwangu akihudumia watu pindi ninapo toka kwenda kupata chakula. Nanimekuwa nikipoteza pesa tena nyingi tu hapo kazini bila kujua zinaelekea wapi na zinatokaje. Hivi jamani huyo ni mtu wa kawaida au ni jini...
  11. J

    Je? Ni utamu wangu au nuksi?

    Ndugu naombeni ushauri wenu kuna mke wa mtu anasema anataka avunje nyumba ili nimuoe maana ananipenda sana kuliko mfano,na anadai anauwezo wa kuvunja nyumba yake ndani ya mwezi mmoja,nilipo mwuliza atatumia njia gani alinambia ni rahsi maana yeye mume wake ana mke mwingine huko anako fanyia...
  12. J

    Nashindwa nianzie wapi,naomba msaada wa kisheria tafadhali!

    Mimi ni kijana wa mwisho ktkt familia ya watoto 7 wakike wa tatu wa kiume wa 4, wakubwa zangu wote wana miji zao, 2 liobaki wawili tunalingana tofauti ni miezitu.Ukweli mi ninapendwa sana na baba sasa!kuna kiwanja alicho nacho baba nataka nikaombe mkopo bank ilinianze kufanya biashara hicho...
  13. J

    Tahadhari!!tahadhari!!tahadhar i!!

    Watanzani angalieni sana hapa kisogoni na maanisha cku za nyuma tumetapeliwa na babu wa loliondo,bado hamja tosheka sasa hvi amepatikana mpambe wa TB JOSHUA waje watuvune mapesa.Eti mtabiri vp nyie? tena hyo mpambe wake kabla hajasema chochote akrudi kutoka huko awekwe ndani six hours kwanza...
  14. J

    Je?nikihama kimyakimya nikosa?japo sinania ya kutapeli wala kudhulumu!

    Mimi ninafanya biashara ya m pesa na jamaa yangu fulani, ktk hiyo kaz till zote za kufanyia kaz ni zangu.Tumefanya hii kaz takribani mwaka mmoja na mtendaji wa kaz ni mimi muda wote,ilitokea sikumoja nikajikuta nina loss nilmweleza mwenzangu japo baadae alinielewa tukaendelea na kaz.Lakni mimi...
  15. J

    Naomba ushauri,nimfungulie kesi au?

    Mimi bwana! nimfanya biashara wa m-pesa iltokea ckumoja akajamteja dukani kwangu baada ya kutoa pesa,aliyo toa kumlipa nikamzidishia kama laki moja.Nahuyu mteja ilikuwa ni mara ya kwanza kuja hapo kwangu japo niliweza kumkalili,alipo niandikia namba baada ya kutoa pesa,nakuja kustuka namba...
Back
Top Bottom