Nilifanya biashara na jamaa yangu nikiwa kama mcmamiz mkuu,lakni baadae nikajikuta nina los ambayo mwenyewe ckujua imetoka wap.Ndipo niliamua kukimbia bila yeye taarifa lakni ktkt mtaji wetu tulio kuwa nao,nilimwachia na vifaa vya kaz ambavyo ni vyangu.Je?kisheria aknishtak nitatiwa hatiani? kiufupi mtajiwake alibaki nao icpo kuwa faida ambayo hata mwenyewe ckuona pamoja na kukmbia.