Mimi bwana! nimfanya biashara wa m-pesa iltokea ckumoja akajamteja dukani kwangu baada ya kutoa pesa,aliyo toa kumlipa nikamzidishia kama laki moja.Nahuyu mteja ilikuwa ni mara ya kwanza kuja hapo kwangu japo niliweza kumkalili,alipo niandikia namba baada ya kutoa pesa,nakuja kustuka namba haikuwa ile iliyo toa toa pesa.Baada ya kama miezi miwili akaja nilipo mwambia aliruka nakudai yeye hajawahi kuja hapa kwangu je? nifanyeje ili namimi nipunguze machungu na hadi sasa huwa anakuja hapa kwangu na wakati mwingine ananipigia cm anakuja kutoa pesa.Binafsi nilipanga nimpige marufuku kujakwangu kutoa pesa maana siyo mwaminifu,naomba mawazo yenu ndg zangu.