Nimetumwa hili swali kutoka facebook.

JITABOY

JF-Expert Member
Sep 2, 2013
254
35
Waungwana jf hukokwetu fb watu wanalilia like na comment wanapo weka stutus, eti huku kwenu jf muna hamu nanini unapo andika thread?
 
Kwani "Stutus" ndio nini vile?

Aina ya lipstick mie napakaa hiyo nkipinda kona tu hadi nyumba ya saba wananiona inavong'aa halafu ukipakaa leo haitoki hadi kesho kwa bajeti ya urembo ni nzuri sana lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom