Hata ukitumia provocative language halinisumbui hilo watu wa aina yako hamnistui .. Tunafundisha dini Madrasa ..Msikitini ..na shuleni.. Bahati mbaya huwezi kuzuia hilo ..
Quran ni moja tu hakuna ya Zanzibar wala ya Tanganyika .. ya mshia wala Msuni wote tunatumia kitabu kimoja kisicho na agano jipya wala la kale .. pia katika dini ya kiislam kuna mitaala mbalimbali ... Kama fiqhi , tawheed na kadhalika watoto wetu hawafundishwi tu kusoma na kukariri bali pia...
Mleta mada ana ndoto za kujenga his/her dream house ambayo ni ghorofa ila ameanza na kifusi .. mtu kama huyu hutakiwi kumtisha .. hesabu za finishing .. what I was trying kumwambia aanze na msingi na ndio kila kitu pale akishatandika mkeka anaweza akavuta pumzi hata miaka miwili akitaka ..kifusi...
Mwaka jana Namwaga kokoto ya nyeusi gari kubwa ile 2M .. hapo unahitaji trip 4 au tano kwa ajili ya msingi ... Cement grade ya juu namba 40 sijui 42 ratio kali ..kwa ufupi nyumba ya ghorofa moja msingi wa maana unaweza maliza 50M hapo hujamwaga jamvi
Katika ujenzi wa ghorofa msingi ndio unakula pesa na ndio muhimu na kitu cha gharama sana ni NONDO na kokoto nyeusi za lugoba anza hapo kwanza ..mchanga unapatikana muda wowote kwa bei rahisi
Haitakiwi ile .. si katika dini hata anavyofanya baharesa si sawa .. wale watu ni wa kusaidiwa kwa mfumo maalum ambao dini umeweka ili asirudi kuomba omba tena
Samurah bin Jundub (May Allah be pleased with him) reported: Messenger of Allah ﷺ said, "Begging is a cut that a person inflicts upon...
Uislam unakataza kuomba omba ... Ni hivyo basi tu ... Ndio maana kwenye uislamu kuna mfumo maalum wa kusaidia watu maskini kupitia zaka.. na kumuwezesha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.