Search results

  1. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
  2. issac77

    Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana wa makamo umri miaka 32, elimu yangu std 7, kazi mjasiriamali, natafuta mchumba ambae hatiaye awe mke wangu. Umri 22~27, elimu itapendeza asivuke form 4, dini/kabila lolote, hata akiwa na mtoto ni sawa. Mwenye yupo tayari karibu PM tuianze safari.
  3. issac77

    Wakuu hivi watengeza ugoro huwa wanachanganya nini mpaka unakuwa mkali sana?

    Nauliza hvyo kwa sababu mim ni muuza ugoro maarufu ila ule wa kuagiza sitengenezi mwenyewe. Kuna mshindani mwenzangu na yeye tunachukulia sehem moja (mkoani) ila ugoro wake unakuwa mkali sana mim wa kawaida ilihali tunachukulia sehem moja, sasa imechangiza mim kupoteza wateja wangu. Swali ni...
  4. issac77

    Nahitaji chain saw ya bei rahisi ambayo ni strong

    Nataka niingie poli kupigisha kazi. Bajeti yangu ni mil 1.5. Msaada wenu wa mawazo wakuu. Nichukue chain saw aina gan ambayo ni strong kwa bajet yangu hiyo?
  5. issac77

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
  6. issac77

    Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

    Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo, Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa, Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari sitofunguliwa Tena? Pia nimejaribu kifungua açount nyngine mpya nayo wamelock vile vile
  7. issac77

    Ushauri: Mke wangu si muelewa, ni mbishi kupindukia

    Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe. Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii' Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini...
  8. issac77

    Wakuu mwanamke huyu kwenye mzunguko wa hedhi, siku zake za hatari ni zipi?

    Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
  9. issac77

    Wajuvi wa cryptocurrency msaada wenu tafadhali

    Mfano nimedepost usd 50 kwenye crypto wallet nikanunua ethereum coins za thaman hiyo nikazi-hold,.. baadae ethereum coin zikashuka sana thaman sokoni zile usd 50 zikapukutika. Je, wallet yangu itasoma negative (- 50) ili soko ilikipanda zipande tena ama wallet itasoma zero kabisa yani hamna...
  10. issac77

    Msaada: Namna ya kununua shiba coin

    Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza. Nawasilisha.
  11. issac77

    Hiki ni kifaa gani na kinatumikaje?

    Nimeokota kibox njiani nilivyofungua nikakuta kitu kama reciever, but bado sijaelewa kinatumikaje. Msaada wenu anaekijua tafadhali
  12. issac77

    Wakuu chungezeni picha hii kwa umakini; kuna ajali ya hivi??

    Kuna mtu huko IG anajiita prophet anawadanganya watu kwamba amepata ajali kwamba ajali hiyo amewahi itabiri siku za nyuma kabla!
  13. issac77

    Kila nikiweka CD, deck inasoma 'NO DISK" msaada wenu tafadhali.

    Kama heading inavyosomeka hapo juu wadau naombeni msaada , deck inasoma "no disk" CD zote nimejaribu nimachemka Ila kwa jirani zinafanyakazi kama kawaida.
  14. issac77

    Je, ni sahihi mwanamume kuzira kula chakula alichopika mke/mwenza?

    Kwakweli nyumba zina mengi! Kuna jirani hapa analalamika mumewe ana wiki mbili hali nyumbani na hata akitengewa chakula hali! Hiyo ni baada ya mke kuwa anahemea mwenyewe (anabangaiza vihela gengeni) sababu mbishe za msela hazizai matunda haachi matumizi! Hivyo mwanaume anaona kuliko kulishwa...
  15. issac77

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    mangekimambi=> Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru watanzania woooote mliojitokeza ku-Protest nchini Marekani, Germany, Sweden, South Africa and United Kingdom. Kwa huo huo uchache wenu mmeleta bonge la impact. . Nawashukuru sana. . . Nilikwenda D.C bila kujua kama atatokea mtu hata mmoja...
  16. issac77

    wakuu, hali hii ya upepo mkali kuvuma asbuhi/mchana

    tangu juzi upepo mkali asbuhi/mchana unapuliza baraa yaani vumbi siyo la nchi hii huko kwenu vipi?
  17. issac77

    Ukurasa wa IG wa marehemu Ivan waanza kutumika

    Nimechungulia page ya marehem IvanDon, cha kushangaza kuna mtu anaitumia amepost picha ....wabongo wavamia page wamwaga mapovu! Swali; je, ni kweli yawezekana ule uvumi kuwa hajafa ikawa ni kweli sasa imeanza kujidhihilisha? !!) Kama ameamua kuitumia ndg au moja ya wana familia, kwanini...
  18. issac77

    Wabongo sio wa mchezo, wamshawishi tajiri no# 1 duniani, bill gates kufungua instagram!

    Jana kwa Mara ya kwanza bill gate amefungua ukurasa wa instagram akiwa tz, Atupia picha ya wali maharage akijumuika chakula na wanafunzi wa shule ya msingi muheza. Watu wengi maarufu duniani, mtandao wa Instagram, wa'comment ktk ukurasa wake kumkaribisha... Kwakweli nampa hongera...
Back
Top Bottom