Search results

  1. Fugwe

    Ijue mifumo ya urekebishaji wahalifu

    Nchi nyingi duniani zina mifumo mikuu miwili ya urekebishaji wahalifu waliotenda makosa ya jinai. Mfumo wa kwanza ni ule wa kuwahukumu wahalifu kifungo gerezani (Custodial Corrections) na mfumo wa pili ni wahalifu kutumikia adhabu ndani ya jamii waliyoikosea (Community Corrections). Mifumo yote...
  2. Fugwe

    Ujambazi Kituo cha Mafuta Chamazi

    Wakazi wa chamazi na viunga vyake kwa kipindi kirefu sasa wanaishi kwa wasi wasi sana kutokana na hofu ya kuvamiwa na majambazi. Siku ya Jumapili tarehe 17/01/2016 majambazi yakiwa na siraha za moto yalivamia kituo cha kuuzia mafuta ya gari maarufu kama petrol station na kuua walinzi watatu (3)...
  3. Fugwe

    Unawakumbuka wanamziki hawa ?

    Katika Tasnia ya muziki je, unawakumbuka hawa na nafasi walizokuwa wana-play???? 1. LOKASA YA MBONGO 2. NGOUMA LOKITO 3.DALLY KIMOKO 3. BILEKU MPASI 4. DIBLO DIBALA 5. MOBILO 6. KANDA BONGOMAN 7. SHIMITAH 8.KABASELE YAMPANYA 9. YONDO SISTER 10. MADILU SYSTEM 11. BALLOU CANTA Miaka...
  4. Fugwe

    Said Bakhressa ana mchango wowote katika kuendeleza elimu?

    WanaJF, Hakuna ubishi kwamba Billionia wetu mpendwa SAID BAKHRESSA a.k.a AZAM anamchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu na kwamba anangoza kulipa kodi, kwa hili anastahili pongezi. Lakini nimejaribu kuchunguza katika Nyanja adimu na muhimu ya elimu, kwa upande wangu sikuona chochote kutoka...
  5. Fugwe

    Viwanja vinauzwa chamazi fahari karibu na azam stadium complex

    Viwanja 220 vilivyopimwa vinauzwa Eneo la Chamazi karibu na shule ya Fahari English Medium Primary school, sio mbali na uwanja wa mpira wa Azamu. Bei ni sh. 3,000,000/-, vina ukubwa wa futi 50 x 48. Kwa mawasiliano piga simu hizi 0762618351 na 0654801535. Kariu tjenge mji mpya. Usichelewe kn...
  6. Fugwe

    Wahusika wa mauaji ya kanali karegeya ex-spy rwanda

    WHO KILLED COL. PATRICK KAREGEYA ? 2 janvier 2014 Politiki Once criminal Paul Kagame told his selfish parliamentarian that, “I will smash the opposition with the hammer and crush them.” Once Paul Kagame talks about something, he will always follow on it. Once criminal Kagame says that...
  7. Fugwe

    Ujumbe ktk wimbo wa bahati bukuku-dunia haina huruma

    Mumewake Bahati Bukuku alikuwa na hawara ambaye naye ana mume akitesa naye kwa rahazao na kusahau kabisa ndoa yake. Mwanamke huyo wa nje alionyesha dharauiliyokithiri dhidi ya Bahati Bukuku, Bahati akawa yeye siku zote ni mtu wakulia tu kwani mume wake alikuwa anamaliza wiki bila kuonekana...
  8. Fugwe

    President J. K. Kikwete on Kigoma region

    I can say that am lucking to see all four (4) presidential administrations of this country from former and late President Mwl JK. Nyerere to President JK. Kikwete. In each administration as a resident from Kigoma I noticed the differences. Yes, I have disputed evidences that during Nyerere's...
  9. Fugwe

    Rasimu ya katiba: Ikulu itakuwa ya Tanganyika au muungano?

    Kufuatia kukamilika kwa Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Muungano wa Tanzania, mambo kadhaa yanaendelea kujitokeza ambayo yanahitaji kutolewa ufafanuzi. Moja ambalo mimi naliona ni kwamba kama tutaunda Taifa la Tanganyika na hakuna ubishi lipo njiani linakuja je, IKULU yake itakuwa wapi?? Serikali...
  10. Fugwe

    Zijue sheria kandamizi dhidi ya wanaume

    WanaJF, Naomba tu-share kuhusu uwepo wa sheria kandamizi, katiri na chinja chinja dhidi wanaume. Baadhi ya sheria hizo ni pamoja na: Marriage Act Sexual offences Special provision Act (SOSPA) Armed Robbery Nianze na Sheria ya Ndoa (Marriage Act); sheria hii kwa ujumla wake imefungua macho...
  11. Fugwe

    Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

    Nahitaji ushauri wenu wanaJF, Ndoa yangu ina umri wa miaka 21 na mimi mwenyewe nina umri wa miaka 46. Katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto 3. Mke wangu yeye ni mjasiria mali (siwezi kusema ni mama wa home) kwani anasimamia vijimiradi vya familia na mimi nimwajiriwa wa seriakli. Katika...
  12. Fugwe

    Wake up-know the evil operations of cia

    The Cntral Intelligence Agency is the world's largest secret police force, its official function is to conduct foreign intelligence operations and intelligence-gathering abroad. It has no authority to operate domestically in the US. The agency is supposed to to function primarily as a producer...
Back
Top Bottom