Viwanja vinauzwa chamazi fahari karibu na azam stadium complex

Fugwe

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,676
656
Viwanja 220 vilivyopimwa vinauzwa Eneo la Chamazi karibu na shule ya Fahari English Medium Primary school, sio mbali na uwanja wa mpira wa Azamu. Bei ni sh. 3,000,000/-, vina ukubwa wa futi 50 x 48. Kwa mawasiliano piga simu hizi 0762618351 na 0654801535. Kariu tjenge mji mpya. Usichelewe kn vinanunuliwa kwa kasi ya ajabu.
 
Unajua size uliyoweka? Futi 50 ni 15m panafaa kujenga choo tena cha stand basi maana nyumba ya sqm 220 haikai.
 
Viwanja 220 vilivyopimwa vinauzwa Eneo la Chamazi karibu na shule ya Fahari English Medium Primary school, sio mbali na uwanja wa mpira wa Azamu. Bei ni sh. 3,000,000/-, vina ukubwa wa futi 50 x 48. Kwa mawasiliano piga simu hizi 0762618351 na 0654801535. Kariu tjenge mji mpya. Usichelewe kn vinanunuliwa kwa kasi ya ajabu.

Hivyo vipimo vya futi mtawadanganyishia Hao Hao wasiovijua.

15m x
 
Acha dharau,inawezekana kipimo kakosea ama yuko sahihi lakibi mita 15 kwa 14 ujenge choo??????

Yeye ndio anaonyesha dharau kwa sisi member wa JF,Unajua size hyo ilivyo? Nitoke huku nlipo niende Chamazi tena nanunua kiganja cha mkono?
 
Back
Top Bottom