Search results

  1. gubegubekubwa

    KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

    Hao jamaa usiwaamini, tena hao waliomtapeli jamaa yangu walikuwa na mahema kabisa wakafungua ofisi za muda kwenye taasisi nyingi tu za serikali hapa Dar, yaani walikuwa smart sana na zile ramani za viwanja ila mwisho wa siku walimpiga jamaa yangu
  2. gubegubekubwa

    KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

    Ni bora anunue kwa wakazi wa huko harafu akipime baadae apate hati, haya makampuni yamemuumiza sana jamaa yangu
  3. gubegubekubwa

    KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

    Alionyeshwa kabisa na ramani walikuwa nazo wakaenda hadi site akakiona akachagua kabisa na kukilipia, kumbe huku nyuma wakakiuza tena, alivyofuatilia wanampa majibu ya hovyo tu
  4. gubegubekubwa

    KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

    Hao wa viwanja Huwa ni mataperi balaa jamaa yangu ametapeliwa milion 29 Kigamboni na makampuni ya viwanja kama haya, kiwanja hawakumpa Hadi leo
  5. gubegubekubwa

    Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili. ==== Serikali...
  6. gubegubekubwa

    Barabara kuu Dar-Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
  7. gubegubekubwa

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Poleni sana, nakumbuka miaka ya 2008 niliwahi kupiga nae picha kabisa akiwa waziri wa fedha
  8. gubegubekubwa

    Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Mkuu umeongea vzr sana na nimeumia sana juu ya nchi yangu kwa haya uliyoyasema, kweli huyu mama ametuuza aise daa
  9. gubegubekubwa

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Yaani dada uko vzr sana unajielewa kwelikweli natamani ungekuwa make wangu aise, sikujua kuwa bado wanawake wenye akili mpo bado ila ni nyie wa zamani kidogo sio hivi vibinti vya 90. Hongera sana my dear
  10. gubegubekubwa

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Wandugu mi sielewi. Ni muda Sasa tangu nianze kuona hizi picha yaani saizi hata kufungua mbele za watu Facebook naogopa maana lazima nizikute picha za ngono. Sijui wengine mnaziona pia daaa!
  11. gubegubekubwa

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Kwahiyo wanaokufa kwa cancer wote Huwa hawamtumaini bwana si ndio manake?
  12. gubegubekubwa

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni: 1. Saratani (Cancer) 2. Vidonda vya tumbo 3. Kisukari Ongezeeni mengine hapo
  13. gubegubekubwa

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    wapendwa, Tafadhali Kama unajua kuhusu mwanamke yeyote anayepambana na SARATANI YA MATITI kwa hatua yoyote tafadhali mshauri awasiliane na Dorothy@africacancerfoundation.org kabla ya tarehe 7 Machi, gharama zote za matibabu ni bure. Tafadhali usiuweke kwako ujumbe huu, SHARE AU TAMBIE kwenye...
  14. gubegubekubwa

    Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    We jamaa umeandika research yako kisomi sana hongera mkuu, nimepata kitu hapo
  15. gubegubekubwa

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole sana mkuu, naijua vzr cancer ya matiti ilivyomteketeza dada yangu aise ni huzuni sana unashuhudia inavyomla Hadi dk ya mwisho kabisa. Mi nashauri kama wazazi wako wapo mpeleke huko kwanza ili machungu yapungue kwako wewe na kwa watoto
  16. gubegubekubwa

    Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?

    Kigogo atakuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Tegeta A huyo anaitwa sijui ni Vaginga
  17. gubegubekubwa

    Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Ndizi za kuchoma wote wanakula kwasababu ni bei rahisi pia unashiba vzr
  18. gubegubekubwa

    Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Ukifikisha miaka 40 bila kuolewa naamini utamkumbuka huyo mwamba
  19. gubegubekubwa

    Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Kama wanakula mishikaki kukiwa na ndizi choma ndio itanoga sasa
Back
Top Bottom