KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Alafu wanayatosa barabarani asubuhi mpaka jioni na hayazimi, yani ni fujo mwanzo mwisho πŸ˜‚
HIzo speaker ziko maeneo ya wanaaouza matunda/magazeti, hao ndiyo wamepewa kazi ya kuzi-charge, kuziweka mapema asubuhi na kuzitoa jua linapozama. Wanakula commission kwa siku.
 
Kumbe speaker zenyewe zimekuwa dili kwa wauza nyanya πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Kuna pale mbezi mwisho arooooo ni balaa
Umepita lini Mbezi Mwisho bageshi? πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Yeah! Viwanja Kibaha na Kiluvya. Bei kuanzia laki tano mpaka 1.5 million. Unalipa pole pole. Huhitaji wadhamini wala nini. Bei sawa na bure! Yanakera hatari!
 
🀣🀣🀣 we jamaa ni kichwa, mpaka nukta emeimeza
 
Umepita lini Mbezi Mwisho bageshi? πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Yeah! Viwanja Kibaha na Kiluvya. Bei kuanzia laki tano mpaka 1.5 million. Unalipa pole pole. Huhitaji wadhamini wala nini. Bei sawa na bure! Yanakera hatari!
Ndo njia yangu hiyo, kuna sehemu wamejazana wa kusajili line, viwanja nk kule njia ya kutokea kwenda kinyerezi zinakopaki daladala za gongo la mboto
 
"Viwanja Viwanja Viwanja πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š
Kampuni ya Mbezi Kiluvya Company Ltd inawatangazia...."
hao wapo Ubungo External mvua ikinyesha speaker wanavalisha mfuko.

Kuna waliopitia mtaa mmoja na gari wanatangaza kampuni ya mchungaji gani sijui itauza viwanja. Wanaongea kiswahili sana, wanasema mlete mwenzio upate hela ya soda. Wanadai ukinunua viwanja viwili unapewa kimoja bure (vilaza kweli hawa). Wanasema unapelekwa na coaster ina full AC. Alafu wanadai mnaandikishana kwa serikali za mitaa (sheria ya ardhi haiutambui huu utaratibu wa kienyeji).

Matangazo ya haya makampuni uchwara background music maneno ni Huu ni mwaka wangu, Nashusha nyavu wa Christina Shusho, Bora Niinjoy tilintintinti...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizo speaker sijui chaji wanaweka sangapi maana mda wote sauti ipo juu
 
"Viwanja Viwanja Viwanja πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š
Kampuni ya Mbezi Kiluvya Company Ltd inawatangazia...."
hao wapo Ubungo External mvua ikinyesha speaker wanavalisha mfuko.

Kuna waliopitia mtaa mmoja na gari wanatangaza kampuni ya mchungaji gani sijui itauza viwanja. Wanaongea kiswahili sana, wanasema mlete mwenzio upate hela ya soda. Wanadai ukinunua viwanja viwili unapewa kimoja bure (vilaza kweli hawa). Wanasema unapelekwa na coaster ina full AC. Alafu wanadai mnaandikishana kwa serikali za mitaa (sheria ya ardhi haiutambui huu utaratibu wa kienyeji).

Matangazo ya haya makampuni uchwara background music maneno ni Huu ni mwaka wangu, Nashusha nyavu wa Christina Shusho, Bora Niinjoy tilintintinti...
Ntintintinti πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kwahiyo hata mvua ikinyesha spika hawatoi?
 
Back
Top Bottom