Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇
https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm
Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe.
Nakulilia Afrika
samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu.
Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why?
My name is Gily. The only super villain and master of Minions..
Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
Wasalaam wana JF
Unakuta mwanaume alikuwa na mke na wanaishi pamoja pika pakua. Ikatokea kuhitilafiana na wakachukua maamuzi ya kutalikiana kila mtu aende kumi zake. Baada ya kila mmoja kusukuma gurudumu la mahusiano na watu wengine huko waliko mwisho mahusiano yakatika kikomo pia.
Unakuta...
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF,
Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29🙂. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu.
Pili, Leo hii tuko hospital magomeni...
Habari za mchana wandugu,
Nyumbani kwangu kumeota mmea flani hivi. Kuna mshikaji alikuja home kunisabahai akaniambia linaitwa Kongwa huko Zanzibar. Akasema huko kwao Tanga linaitwa msharifu. Anadai kuwa huu mmea unatumika kuua nguvu za uchawi na waganga wengi sana.
Sikutaka kumuliza maswali...
Nauza camera cover kwa ajili ya kuzuia mvua au camera kuingia maji. unaweza shoot hata ukiwa ndani ya maji, mazingira ya maji au mvua ikiwa inanyesha. .
Bei elfu 50 sawa na bure. .
Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-).
Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. .
Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.
Nauza Mastervolt
Part no: 77031500
Type AC 1X6A
Bei: 450,000/-
Kwa kweli sijui Ina kazi gani sema imekuja na mzigo wa mtumba. Nim jaribu kucheki mtandaoni nijue Ina kazi gani ila bado sijajua.
Kuna kipindi wakati niko Rombo nakumbuka nilienda kumuoji mzee mmoja anaitwa mzee Afande kuhusu maswala ya zamani. Yule mzee alinambia kuwa kat ka maisha yake amemwona babu yangu (nami namfahamu), baba yake babu yangu (alifariki 1983 simfahamu) na babu yake baba yake babu yangu (simfahamu). Na...
Habari za Jioni,
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha...
Nauza kwa matumizi ya kiofisi Canon Pixma MX410
Sifa zake someni online na kama una maswali wajuzi watayajibu hapa
Inauzwa 200,000/- kama unahitaji mawasiliano ni 0714829688. .
Jumapili njema.
Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama.
Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la...
Habari za jioni
Kuna kaubishani kametokea site, sasa vijana wameshiba wanabishana kati ya Mbagala na Gongo la Mboto ipi kubwa zaidi?
Kwa anayejua ningependa kufahamu
Thank you
Habari wadau,
Kuna mama mmoja anauza eneo kibaha mnemela umbali kilometer saba kutoka hospital ya tumbi. Eneo nimeenda kuliangalia leo huko, maeneo ya kibaoni, mbele ya Boko Mnemela. Eneo ni tambarare na lina ekari mbili kasoro kidogo kutokana na kuweka njia kidogo pembeni ukingoni mwa eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.