Search results

  1. M

    Duru za Uchaguzi Afrika Kusini. Umokhonto We Sizwe

    Wakuu habari, Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya zote, na MK imeshika nafasi ya 3. Hata hivyo ina tegemewa kuongezeka kufika mpaka asilimia 17 zoezi la...
  2. M

    Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

    Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha...
  3. M

    Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

    Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO. Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia. Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
  4. M

    Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

    Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede. Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja...
  5. M

    Ushauri: Kati ya Diploma in Disaster Management au Diploma in Monitoring and Evaluation ipi ina nafasi nyingi za ajira?

    Habari ya leo Wakuu, katika kutaka kuongeza ujuzi na wigo katika elimu naomba kupata maoni kwa wale wataalamu. Je kati ya Diploma in Disaster Management na Diploma in Monitoring and Evaluation ipi ina ushawishi zaidi kwenye kumsaidi mtu kwenye majukumu ya kila siku na pia kwenye kumuongezea...
  6. M

    Sababu ya mwitikio wa watu kusoma shahada ya Umahiri (Master's dgree) kupungua?

    Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana. Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
Back
Top Bottom