Habari wakuu,
Naomba kufahamu kwa nafasi za kazi ambapo kada tofauti mnaitwa kuomba yaani kama field za ( finance, planning, economic, engineering) mnaomba kazi moja.
Maswali ya interview huwa yanatungwa kwa namna ipi?
Habar wadau,
Poleni na majukumu km kichwa Cha habar kisemavyo hapo juu, nahitaji mtu wa kunidhamini bank statement kwaajili ya matumiz ya safari ya nje.
Ambapo tutakubaliana atanitoza kiasi gani?
Kwa maelezo nicheki 0683263330
Habari wakuu,
Eneo hili linapangishwa kwa matumizi ya bar(pub), groceries, mgahawa na biashara nyingine kama ulionavyo lipo maeneo ya Tabata(DSM), Kodi kwa mwezi ni laki mbili(200,000/=)
Kwa mawasiliano nicheki 0683263330
Habari wakuu?
Wadau poleni na ujenz wa kujenga taifa hili, nakuja mbele yenu kuomba msaada kwa yeyote anaefahamu wap ntapata mkopo wa dharula kiasi Cha Tshs. Milioni mbili(2,000,000/=) kwa dhamana ya kiwanja changu chenye ukubwa was ekari moja kipo maeneo ya Mwasonga (Kigamboni).
Kama...
Habari wanajf?
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,
Kuna kikampuni fulan jina ***** microfinance kinajihusisha na kutoa mikopo midogo mtaani Tena kwa dhamana ya vitu vya ndani kama vifaa vya electronics simu, Tv, Pc nk.
Hivi karibuni nilienda kuazima pesa kama laki 2 wakasema wanatoa riba ya...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kwa mdogo wangu ana diploma ya electrical engineering GPA 2.9 anahitaji kuendelea na degree afanyaje kupata chuo kwa kozi hiyo?
Habari wanaJF?
Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo...
Habari wanajf,
Mimi ni kijani umri miaka 26 mkazi wa Dar, Nimesomea diploma ktk course ya electrical and electronics engineering
Natafuta kazi ya muda au kudumu kwa sehemu yoyote kwa taasisi, kampuni , kiwandani n.k
Naomba tusaidiane wakuu.ahsante
Kwa mawasiliano; 0711633656/0683263330
Habari wanajf,
Nahitaji mtaalamu mwenye uelewa na uwezo wa kuandika business proposal kwenda Kwenye kampuni au taasisi binafsi au serikali, Anicheki kuna kazi tufanye kwa makubaliano.
Kwa mawasiliano 0711633656/ 0683263330
Habari wanajf,
Nahitaji mtaalamu mwenye uelewa na uwezo wa kuandika business proposal kwenda kwenye kampuni au taasisi binafsi au serikali. Anicheki kuna kazi nahitaji tufanye kwa makubaliano
Kwa mawasiliano 0711633656/0683263330
Habari wanaJF,
Tuition kwa wanafunzi wa sekondari O'level na A'level, nafundisha kwa wanafunzi watakaohitaji huduma
Majumbani kwao na centre pia.
Masomo yanayofundishwa ni:
1. Physics (O'level na a'level)
2. Chemistry (O'level na a'level)
3. Mathematics (O'level na a'level)
Masomo haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.