Wakuu niko Tanga hapa nataka kufungua biashara hapa maeneo nayopendekeza ni barabara ya 9, 10, 11, 12, na 13 yawe jirani sana na stand nilikua naomba kujuzwa bei au pengine msaada wa kupata frame yenyewe wakuu
Ninapatikana dodoma hapa katika pitapita zangu nikakutana na hichi kisa kuna bwana mmoja anafanya kazi Wizara ya ujenzi.
Huyu bwana sijapata jina lake ila nitapeleleza nililete hapa kama Wana ndugu wamsaidie huyu mshikaji jamaa anajenga nyuma uzunguni wanaita mlima wa usalama.
Huyu bwana...
Niko Dodoma hapa mshikaji kaniita kwa kibar fulani kipo kina guest eeeh bhna eeh nikamwona mwigizaji wa bongo movie hapa ila ni wale wa kale kidogo kapauka hapa anakata viuno nikamtia beer 2 akaanza kuropoka alikua na kina AY.
Ngwea na kina Mr Blue Yaani na utelezi alitaka kunipa mshikaji...
Wakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.
Mimi nataka nisajili jina la biashara mbeleni kuwa hata kampuni Mungu akijalia ila nataka nitumie TIN number ya Mama yangu mimi nisimame kama mrithi.
Je, kuna...
Wakuu hii risit ya machine kodi ni kuanzia bei gani maana mimi nadai risit kila uchao ila hii ya leo naona sifuri kwenye kodi
Hii ni laki imeonyesha kodi chini ya 10000 serikali haikati asilimia 18
Wakazi wa Dar es Salaam mnapilika pilika kweli.
Embu tujuzeni hiyo asali inatumika vipi kwenye kunyanduana maana manzi anaeza kuja na asali gheto nikaishia kulamba na mkate nikaaibika.
Wakuu mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya siasa ila nilichokiona asubuhi wakati naelekea kwenye mihangaiko yangu hapa jijini Dodoma mitaa ya Chang’ombe B, wanafunzi niliowaona ni wa Shule ya Msingi Chang’ombe B wakiwa wanachota maji ya mvua yaliyotuama barabarani yanatakribani wiki moja au mbili...
Wakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa Area C nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo sasa hivi!
Wakuu mimi natumia Boksi ya UFI kwa kweli pamoja na sifa mbovu za hili boksi nimefanikiwa kufufua simu kadhaa na kuua simu 2 nikijaribu kutoa MDM nikiwa najifunza na kuamsha simu zilizokufa animefanikiwa chache tena zile brand kubwa kwa kuwa sina wateja wengi tatizo ni kwa hizi simu zetu tecno...
[INTERNET] Network Error: A connection attempt failed because the connected party did not properly respond after a period of time, or established connection failed because connected host has failed to respond. Wakuu nani akikutana na hilo tatizo na alitatuaj Wakuu maana nishapata presha hapa
Ndugu zangu kulingana na huu ukata wa maisha nimeshindwa kuambatana na ndugu zangu kuelekea mgombani kula sikukuu naombeni nyinyi mlioko Dodoma mnialike nije kula ubwabwa.
Wakuu mimi ni fundi simu, changamoto niliyoona kwa spear za simu bongo feki ni nyingi sana na hiyo nimegundua baada ya kuanza kuagiza baadhi ya spears AliExpress.
Nikagundua bongo feki nyingi, inafanya wateja wapoteze uaminifu na sisi maana anaona kama umefanya kusudi kumbe la hasha ni soko...
Wakuu katika kutafuta kioo cha iPhone xr online nikakutana na hii Aina mpya ya kioo inaitwa OEM Na bei yake imechangamka kidogo kuliko OLED.
Naombeni msaada wa aina ya hicho kioo kabla sijanunua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.