Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,353
- 1,283
Wakuu mmeshagundua kwamba Equity bank wamesitisha manunuzi online
Huko CRDB na NMB mishahara ishatoka mkuu....😋Wakuu mmeshagundua kwamba Equity bank wamesitisha manunuzi online
Wanafanya maboreshoWametoa sababu gani? Au ni wew unakurupuka kuhisi dolar ?
Kwamba kukiwa dollar ni pungufu wataniambia tatizo ni dollar au unajizima dataWametoa sababu gani? Au ni wew unakurupuka kuhisi dolar ?
BASI VUTA SUBIRAWanafanya maboresho