Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom...
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom...
Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023.
Direct kwenye point
Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2.
Baada ya malipo ya awali, ambayo yalikuwa ni kama 2/3 ya malipo yote, tulimuomba mzee aliyetuuzia copy ya hati ya...
Moja ya makundi yaliyojeruhiwa kimaslahi kwa hii miaka 5 iliyopita ni kundi la Wafanyakazi wa Umma. Bila ongezeko la mshahara, ambalo lilikuwepo kisheria, kila mfanyakazi wa umma amejikuta akipoteza maslahi ya kutosha.
Kwa mfano binafsi, mwaka 2015 nilikuwa nina annual increment ya shilingi...
Wasalamu.
Tuanze na assumption. Assume umeokota kiroba cha pesa chenye vibilioni kadhaa (1, 2, 3 ....), halafu ukaamua kutokuwa muungwana na kuziripoti police, tofauti kabisa na alichokifanya yule soldier wa Nigeria (kama sijakosea) wiki mbili tatu zilizopita.
(Nina imani wengi watakubaliana...
- Alizaliwa tarehe 23 July, 1892 huko Ethiopia, wakati huo ikijulikana kama tawala ya Abyssinia
- Inasemekana alikuwa kichwa (na akili), kitu kilichomshawishi mfalme wa wakati huo avutiwe nae na kuamua kushughulika na elimu yake.
-Akiwa na miaka 13 tu baba yake alimfanya Commander wa mgambo, na...
Hii ni baada ya kufuatilia trend ya masoko kwa zaidi ya miaka minne mfululizo.
Ni hivi, kuna bonde moja liko kati ya wilaya za Mpwapwa na Kilosa, linaitwa Lumuma. Pale kwa sasa wameanza kuvuna kitunguu maji, na bei kwa gunia kwa sasa ni elfu hamsini (50,000) za kitanzania.
Kama ukinunua...
Salamu wanajamvi,
Mimi ni mwajiriwa serikalini, nafundisha chuo. Kabla ya kupata ajira serikalini, nilishawahi kutuma maombi kwenye chuo kimoja kinachoendeshwa na taasisi ya kidini.
Nimeshafanya kazi serikalini mwaka mmoja, ila jana wale wa chuo binafsi wameniita kwenye interview, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.