Search results

  1. Mhakiki

    Naomba kufahamu mambo haya kuhusu kinga ya Radi

    Wakuu ameni iwe kwenu. Wakuu nimefanya uchunguzi wangu ambao siyo rasmi nimegundua nyumba karibia zote kwa mji ninaoishi hazijawekewa KINGA RAD isipokuwa majengo ya benki tu ndiyo yamewekewa. Maswali yangu. 1. Hizi KINGA RADI zinauzwa kwenye maduka gani? 2. Gharama zake zikoje? 3. Je, hufungwa...
  2. Mhakiki

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Wakuuu habari za usiku. Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO. 1. Kutopokea simu. Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea...
  3. Mhakiki

    Naomba nipatiwe elimu kuhusu umaliziaji wa kujenga nyumba juu (Gypsum Board na PVC Board)

    Wakuu nisiwachoshe naomba nijikite kwenye mada. Nina kibanda changu Cha vyumba vinne kimoji ni self, public toilet, sebule, dinning, jiko na stoo na Niko kwenye hatua ya finishing. Naomba nipate Elimu kuhusu gypsum board aina zake, wazalishaji na ubora wake pamoja na bei zake za mjini(DSM)...
  4. Mhakiki

    Naombeni ushauri akija nifanye nini?

    Wanajukwaa heri ya kumaliza mwaka 2021 na Mungu awajalie tuweze kuona mwaka 2022. Wakuu nisiwachoshe mimi nina mchepuko wangu ambao umenipenda kupindukia hata sijui nieleze vipi na huu ni mwaka wa sita tuko kwenye mahusiano. Huyu mchepuko wangu wako mapacha tena wa kufanana na wamefanana kweli...
  5. Mhakiki

    Mbinga: Mgombea Udiwani aliyetekwa, aachiliwa huru, yupo salama

    Ni wa kata ya MASUMUNI Jimbo la MBINGA MJINI ndugu LAURENT VITUS GOMANI amepatikana usiku wa kuamkia leo akiwa salama kabisa. Akizungumza na mamia ya watu waliokusanyika nyumbani kwake tangu saa 10 alfajiri ya leo ndugu LAURENT VITUS GOMANI amemshukuru MUNGU kwa namna alivyompigania...
  6. Mhakiki

    Mgombea Udiwani wa CCM atekwa usiku wa kuamkia leo

    Ni mgombea udiwani kupitia CCM wa kata ya MASUMUNI Jimbo la MBINGA MJINI ndugu LAURENT VITUS GOMANI AMETEKWA na watu wasiojulikana USIKU wa kuamkia leo. Watu hao wapatao wanne walifika majira ya saa sita USIKU wakiwa na slaha 2 na kujitambulisha kuwa wao NI Askari polisi. Ndugu GOMANI aligoma...
  7. Mhakiki

    Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

    Wakuu wasalamu. Kama kicha Cha HABARI kinavyojieleza. Kama Kuna MTU yeyote mwenye mashine tajwa hapo juu tv nch 32 naomba tuwasiliane pm ili tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mhakiki

    Huyu Afisa wa Halmashauri ya Mbinga Mji anapata wapi hii jeuri?

    Wakuu salamu zenu na heri ya wapendanao. Naomba nisiwachoshe kwa kifupi ni hivi Mwezi Disemba 2019 aliandika barua kwenda kwa walimu wakuu na wakuu wa shule za sekondari akiwataka wawatangazie walimu kuwa wanapaswa kuchangia ada ya usafi kuanzia 1 Julai hadi 30 Juni 2019 hiyo taarifa ilikuwa...
  9. Mhakiki

    Kwa wasiokifahamu kisiwa cha Puerto Rico

    Kijiografia kisiwa hiki KWA upande wa kaskskazini kimezungukwa NA ziwa Hindi,kusini KUNA bahari ya Tanganyika,mash KUNA bahari ya Victoria NA magh KUNA bahari ya Nyasa. Kisiasa kisiwa hiki kinaamini mfumo was vyama vingi lakini kiuhalisia mfalme anataka chama kimoja. Mfalme wa HAPA Puerto Rico...
  10. Mhakiki

    Enyi watumishi mtatumika hadi lini?

    Mimi ni mwalimu mkuu asubuhi ya leo nimepigiwa simu kuwa "RAIS MAGUFULI'' atakuja wilayani kwetu 30/08/2015 kwa hiyo niwaandae walimu na wanafunzi kwa ajili ya kwenda kumpokea na kumsikiliza. My take: 1.Mkuu wangu naamini alilala na viroba ndiyo maana anasema Magufuli ni rais ili hali ni...
  11. Mhakiki

    Wataalam wa kuandika wasifu tafadhali

    Habari za mchana wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Mwezi wa 10 mwaka huu mwizi wa siku nyingi ajulikanaye kwa jina CCM atazikwa rasmi. Kutokana na msiba huo naomba mwenye utaalam wa kuandika wasifu wa MAREHEMU atusaidie kuuandika akizingatia vitu vifuatavyo:- 1.Tarehe...
  12. Mhakiki

    Kula ccm kura ukawa

    Tumeona kura za maoni ndani ya CCM zilivyotawaliwa na sarakasi za kila aina. Najua hata kwenye uchaguzi mkuu watafanya hivyo kwa hiyo chochote ambacho wao huita takrima nitachukta ila KURA yangu itukuwa ya UKAWA.
  13. Mhakiki

    Nani mkweli katika hili?

    Wakuu heshima kwenu, Siku za hivi karibuni tumeahuhudi kushuka kwa kasi sana kwa sarafu yetu dhidi ya dala ya Marekani. Viongozi wa SERIKALI walijitokeza na kutolea sababu kwa nini imekuwa hivyo. Wakitoa maelezo kwa nyakati tofauti wa kwanza ni WAZIRI WA FEDHA.Yeye alisema sababu ni vitendo...
  14. Mhakiki

    Enyi walimu ni watu muhimu katika taifa

    Wana jamvi poleni kwa pilikapilika za mchana kutwa. Kwa mtazamo tu mwalimu ni mtumishi muhimu sana kwa taifa na jamii yoyote ile. Ni ukweli usiopingika kwamba hakuna mtaalamu wa mtawala awaye yeyote atatamba na kusema hakupita mikononi mwa mwalimu. Cha kushanga mtu muhimu kama huyu anakasa...
  15. Mhakiki

    Ccm mbinga yakiri kuwa mziki wa ukawa ulikuwa noma.

    Wanajamvi poleni kwa kazi ngumu ya kuelimisha umma. Mwishoni mwa mwaka jana ulifanyika uchaguzi wa s/mitaa. Katika uchaguzi huo,uchunguzi umeonesha mbinga ni moja ya maeneo ambayo ccm imejizolea kura nyingi sana.Kwa mfano kata ya mbinga mjini ccm mtaa 27 chadema 1,kata ya kilimani chadema...
  16. Mhakiki

    Afisa elimu msingi Mbinga kuwalazimisha walimu kujitoa CWT ni halali?

    D.E.O msingi wilaya ya mbinga amekuwa anafanya kazi kwa migogoro na ubabe uliovuka mipaka kwa muda mrefu sasa.kwanza aliwalazimisha walimu wakuu kutumia fedha za captation kulipia mitihani ya kata ya std vii kila mtoto tsh 6000 inayoandaliwa huko dar kwa bei ya kutupwa na inasimamiwa na yeye...
Back
Top Bottom