Recent content by we are the inner

  1. we are the inner

    Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    Wasicho jua watu wengi nikwamba watazame vizuri watu wanao jiita wenye dini. Matendo yao na maisha yao kwaujumla..ndipo utaamini kwamba nichui alie vaa ngozi ya kondoo..kwani matendo yao hayaendani namisingi mikuu ya dini zao. Ipo,ipo,ipo,ipo siku mwanga utalishangaza giza.
  2. we are the inner

    Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    Kwa asilimia kidogo naunga mkono kwamba sisi ngozi nyeusi walio wengi sio wa aminifu wamejaa tamaa ya utajiri sana kitu ambacho kinafanya utajiri wenyewe uwe katika ndoto tuu. Kulala nakuamka tajiri ndio ndoto kubwa ya mbongo.
  3. we are the inner

    Mnawezaje kupambana na roho ya ubinafsi na chuki

    Chuki nisiraha pekee inayo kumaliza wewe kabla ya Adui yako. Njia pekee yakushinda chuki,husda,kijicho nikuachilia. (Manifestation) Zaidi pia yamo mafundisho katika darasa zangu omba uanachama. Nguvu ya fikra zetu. Namba ipo kwenye picha hapo.
  4. we are the inner

    Depression inaniua

    NGUVU YA FIKRA.. Unahitaji msaada wa ushauli natatizo lako nila kisaikolojia. Tuma maombi yakujiunga ndani ya group zangu kwanamba iliopo hapo utapata msaada wa moja kwamoja. Polesana.
  5. we are the inner

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Bangi nikatika mimea mitakatifu sana ya kiroho..shida inakuja vijana wengi hawana maarifa yakutosha katika matumizi yake. Hivo imepelekea walio wengi kuwarusha Akili zao. Binafsi kama mwalimu wa meditation bangi nikatika mmea mtakatifu sana unao kuwezeshaa katika mchakato wa tafakuri ya kuelekea...
  6. we are the inner

    Uhusiano wa umri wako na wewe

    Kifo ni aibu na fedheha kwa mwili. Bali ni kicheko na sherehe kwa #ROHO.
  7. we are the inner

    Ubingwa wa Premier League 2023/24 utatua kwa Arsenal au Man City?

    Arsenal asubiri kidogo walau 2030
  8. we are the inner

    Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Toka naishi hapa dunia ndio nasikia mageto ya kukodi kwa masaa. Nimezoea magari labda na nguo za kukodi. Ila getto zakukodi😎😎
  9. we are the inner

    Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Uislamu umeikosea nini dunia! Mbona kila kukicha nikupigwa mawe??
  10. we are the inner

    Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

    Kwanyakati hizo nadhani nisawa kwakua hata magonjwa ya mlipuko ilikua hakuna..
  11. we are the inner

    Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Chukua namba sijakutafuta kwakua nadhani pm yangu inashida kidogo.
  12. we are the inner

    Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Mtoa mada nili Ahidi kukupa connection yahili na pm msg ulinitumia nadhani ila pm yangu inashida kidogo hivo chukua namba hapa nakutumia.
Back
Top Bottom