Nsumba ltd
Member
- Mar 19, 2024
- 24
- 39
Du
Utajiri uko ngende sema wana masharti ya kishamba sana. Unaweza ukapata pesa hao hao wanakupa mtego ili ukosee ufilisike ufedheheke
Na mkuu bora umesema anako enda anatapeliwa sio muda mrefu, kuna jamaa yangu keshapoteza sana pesa kwa kupewa ndumba ambazo hazifanyi kitu chochote kesha zunguka sana hii tanzania kutafta huo utajiri ni zaidi ya miaka 6 mpaka leo kuna kipindi nilimwambia aokoke tu ili anusurike tu kweli Mungu kamnusuru mana alikua kashafirisik kwaajiri ya waganga matapeli.Kua makini sana mdogo wangu. Nmeanza hizi harakati miaka 5 iliyopita nimeona mambo ya ajabu sana. Matapeli wapo. Wakweli pia wapo.
Matapeli hawaoni haya kwenda makaburini kuchimba kaburi na kumuweka mtu ndani akiwa anaongea na wewe kudhania unaongea na majini au mizimu, nahilo kaburi unaliona limefukiwa.
Hii IPO njombe kuna majamaa ndio zao kuingia bar ananunua vinywaji vyote halafu watu wanakunywa bure. Sema sasa hivi watu wameanza kusanuka wanakataa ofa zao yaani ni tafraniKuna sehemu unaambiwa hela yako ni lazima uitumie hakuna kuweka akiba.
Sasa wana wanalazimisha watu kulewa, akifika bar analipia bia mnywe tu. Kuhonga ndo usiseme.
Yaani hela inakuweka busy isivyo kawaida.
Mulusagamba wapi hukoHaya nenda mpka mulusagamba huko,, uliza wenyeji ukiona wapata tabu uliza kwa mzee wa matuta na maji aliemlimisha matuta mtu na wazifa wake akaleta dharau kilichomkuta anakijua yeye sa hivi ni story,,,, halafu uchawi ni gharama za pesa, muda, na mali hakuna cha rahisi kisicho na gharama..... Pia ndagu, uchawi, na dawa zake una code zake kirahisi mtu akufungukie humu jf.... Haya location hiyo nenda
Mtu apataye mali isiyo halali ni kama kware akusanyaye makinda ambayo hakuyaangua: Wakati wa kilele cha ujana wake itamchopoka, na mwishoni atakuwa mtu mpumbavu.Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.
Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?
Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.
Asante kwa kuwakilisha, wazee wa muongozo kujeni.
Nimemwambia manake nimeshayaona mengi hadi huko makaburini nishaenda. Ngoja niishie hapa.Na mkuu bora umesema anako enda anatapeliwa sio muda mrefu, kuna jamaa yangu keshapoteza sana pesa kwa kupewa ndumba ambazo hazifanyi kitu chochote kesha zunguka sana hii tanzania kutafta huo utajiri ni zaidi ya miaka 6 mpaka leo kuna kipindi nilimwambia aokoke tu ili anusurike tu kweli Mungu kamnusuru mana alikua kashafirisik kwaajiri ya waganga matapeli.
Doohhh..nime imagine, nikaogopa kabisaa.. watoto wangu hawa hawa ninavyowapenda na kujihangaisha kwa ajili yao leo et niwafamye ndondocha mazezeta kisa nipate pesa, ooohhh no no no!!!! Acha nikomae hiv hiv tuWaonee huruma watoto wako, maana lazima utaanza kuwatoa kafara Kwa kuwaua ama uwafanye mandondocha Dukani kwako
Wengi hupewa hayo masharti MkuuDoohhh..nime imagine, nikaogopa kabisaa.. watoto wangu hawa hawa ninavyowapenda na kujihangaisha kwa ajili yao leo et niwafamye ndondocha mazezeta kisa nipate pesa, ooohhh no no no!!!! Acha nikomae hiv hiv tu
Poa mkuu
Chukua namba sijakutafuta kwakua nadhani pm yangu inashida kidogo.