Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

KHM 1995

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
389
559
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.

Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?

Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.

Asante kwa kuwakilisha, wazee wa muongozo kujeni.
 
Habari zenu wakuu,natumaini mko poa kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili swala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi ? ,kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hili wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu.
Asante kwa kuwakilisha ,wazee wa muongozo kujeni
Nenda Youtube Channel Ya Davista Mata utajua hujui.
 
Utajiri wa ndagu ni kweli Upo

Japo Kuna changamoto ya baadhi ya Waganga matapeli

Sio jambo la kulishabikia as kuingia huwa ni rahisi ila changamoto yake huwa ni kutoka

Madhara yake ni makubwa kwenye familia kuliko Faida zake

Bora shilingi 10,000 yako unayoipata kawaida kuliko shilingi 1,000,000 unayoipata Kwa masharti
 
Mkuu niunganishe nipate kuthibitisha hiki unachosema
 
Yeah kafara ipo mwenyewe nataka niende kumwambia mganga anibadilishie masharti sahivi ananipa dawa za kutega mlangoni, naona inachelewesha nataka aniruhusu niwanyonge kwa mikono mwenyewe.
Ikifika zamu yako mwambie akuwahishe pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom