Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 19,231
- 30,292
Hakuna mahali nimesema malengo makuu ni hayo but unawezaje linda nchi if you are not capable of that?maana ya neno ulinzi sio kuua,wala wanajeshi hawafundishwi kuua usiwe kama kasuku unabeba kauli jumla jumla.
Ulinzi wa jeshi katika nchi yake ni uwepo wake kwanza,kuua hayo sio malengo ya jeshi,hujiulizi kwanini kabla ya vita kuna hatua nyingi tu zinatakiwa zipitiwe kabla ya kufika huko??kwa sababu hiyo ni hatua ya mwisho kabisa kunyanyua silaha na kuua mtu mwingine.
Isijekuwa hata mnavyosikia jeshi linalinda katiba mnadhani limekaa na hicho kitabu pale ngome mtu asiibebe.
Au linasubiri mtu aivunje tu limuue kama mbu,NO.
Mtazamo huo wa abiria na wananchi wengi hauko sahihi,elimu ya zaidi inahitajika kabisa,
Konda wa daladala anayeona gwaride la askari wa navy ktk TV anasema ni traffic police hawezi kuwa na uelewa wa jambo kama hili sawa sawa.
I mean especialy maadui zako they are capable of doing so?
But one thing lengo si kuuwa wananchi, they suppose to be capable to do so, otherwise mafunzo yao yasingehusisha mafunzo vita