Wasicho jua watu wengi nikwamba watazame vizuri watu wanao jiita wenye dini.
Matendo yao na maisha yao kwaujumla..ndipo utaamini kwamba nichui alie vaa ngozi ya kondoo..kwani matendo yao hayaendani namisingi mikuu ya dini zao.
Ipo,ipo,ipo,ipo siku mwanga utalishangaza giza.
Kwa asilimia kidogo naunga mkono kwamba sisi ngozi nyeusi walio wengi sio wa aminifu wamejaa tamaa ya utajiri sana kitu ambacho kinafanya utajiri wenyewe uwe katika ndoto tuu.
Kulala nakuamka tajiri ndio ndoto kubwa ya mbongo.
Chuki nisiraha pekee inayo kumaliza wewe kabla ya Adui yako.
Njia pekee yakushinda chuki,husda,kijicho nikuachilia.
(Manifestation)
Zaidi pia yamo mafundisho katika darasa zangu omba uanachama.
Nguvu ya fikra zetu.
Namba ipo kwenye picha hapo.
NGUVU YA FIKRA..
Unahitaji msaada wa ushauli natatizo lako nila kisaikolojia.
Tuma maombi yakujiunga ndani ya group zangu kwanamba iliopo hapo utapata msaada wa moja kwamoja.
Polesana.
Bangi nikatika mimea mitakatifu sana ya kiroho..shida inakuja vijana wengi hawana maarifa yakutosha katika matumizi yake.
Hivo imepelekea walio wengi kuwarusha Akili zao.
Binafsi kama mwalimu wa meditation bangi nikatika mmea mtakatifu sana unao kuwezeshaa katika mchakato wa tafakuri ya kuelekea...
Unacho kitaka wewe ni connection maalumu.
Nakifupi nikwamba ushafanya uganga sana ila bado hujaambulia kitu.
Sasa nacho weza kukusaidia ninjia bora yenye maamuzi makubwa hii njia niyakufungua jicho latatu ambalo utaweka nguvu hapo najuhudi ili uweze kupata vitu hivo unavo kusudia kupitia maono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.