Recent content by Sea Beast

  1. Sea Beast

    Kwenye kutafuta kuna mambo mengi!!!

    Kama una CV isiyo na vigezo nicheki hela ndogo tu
  2. Sea Beast

    Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Nakuunga mkono hapa, mwenye akili kawaid ku-twist details mimi sijawahi kuandika location yangu ya ukweli, chuo nilichosoma kwa stori ya kawaida tu kwafaida gani upoteze anonymous yako.
  3. Sea Beast

    Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Hii mbon kawaida tu unapoandika mada inayohusu maisha yako ku-twist baadhi ya details ili usiharibu Anonymous ya ID yako labda uwe hujui nini maana ya JF. Sioni tatizo lolote hapa.
  4. Sea Beast

    Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Yaani wewe ndio unajipa jukumu la ku-Care ndoa munayoiendea na si yeye....Jitathmini mzee. Mimi nahisi nilipofikia naweza nisioe kabisa au kuwa na mwanamke muda mrefu maana ujinga siufagirr kabisa kabisa
  5. Sea Beast

    Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Inategemea na utendaji gani au aina gani ya kazi unaimba, wewe uombi udakatari hapa au Engineering ni Manager, katika utendaji wa Manager anandaa documents nyingi Proposal, Plan, Strategies, Report nk hizo inakuwa ni moja ya utendaji wako maananhizi proposal ndio unawapa watching wako...
  6. Sea Beast

    SoC04 Muongozo utatuzi wa tatizo sugu la ajira, kuelekea Tanzania bora

    Kuna suala la Familia kwa pamoja kuchangia vijana wanaoanza maisha kwa mtaji wa pesa.
  7. Sea Beast

    SoC04 Muongozo utatuzi wa tatizo sugu la ajira, kuelekea Tanzania bora

    Hoja nzuri, hakika tukiwekeza kwenye soko la uhakika itakuwa chachu ya watu kujiajiri maana soko nalo ni moja ya changamoto kubwa. Wakulima wanalima mazao yao na hakuna soko la uhakika kabisa inakatisha Tamaaa, wakipeleka madam sokoni wanakutana na bei za kiranguzi na rumbles. Natumai kupitia...
  8. Sea Beast

    Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

    Umeongea vizuri ila dela bila chupi haupo sahihi, hao wasaizi wapo mtaani na wapo na tabia nzuri tu kabisa wife materials. Mimi nanae huyu mwezi wa pili huu ajaniomba hata Shilingi 10 ila vipesa nampa tu nikiwa na 1000, 2000 kubwa kumpa ni 3000 Week hii nikipata mshiko ndio nategemea kupa...
  9. Sea Beast

    SoC04 Muongozo utatuzi wa tatizo sugu la ajira, kuelekea Tanzania bora

    Salaam Wanajamvi Kuelekea ujenzi wa Tanzania ile tunayotaka, Mimi napenda kuchangia mawazo yangu na kufungua mjadala katika suala zima la utatuzi wa ajira hapa nchini. kati ya changamoto kubwa tuliyonayo kwa wakati huu ni tatizo sugu la ajira ambalo ndio chachu ya kukuza uchumi binafsi na taifa...
  10. Sea Beast

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tanzagiza ni nini wewe mbona kama una mindset ya kitumwa kutopenda chako.
  11. Sea Beast

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tara hizo sehemu za utalii
  12. Sea Beast

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tanzania is famous than Zanzibar, na sisi ni Tanzania ukizungumzi Tanzania ni Bara hata muungano ukivunjika bado sisi ni Tanzania unataka tufahamikaje.
  13. Sea Beast

    Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Huyu nilienae sasahivi anyone ya kweli na mimi nimejupana hasa kushilia nganganga yaani hapa sikubali penzi life kizembe tu walahi target yangu ya kwanza nijaze upepo kwanza soko la mahusiano gumu hata sitaki kusumbuka tena
Back
Top Bottom