Search results

  1. Sea Beast

    Kwenye kutafuta kuna mambo mengi!!!

    Kama una CV isiyo na vigezo nicheki hela ndogo tu
  2. Sea Beast

    Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Nakuunga mkono hapa, mwenye akili kawaid ku-twist details mimi sijawahi kuandika location yangu ya ukweli, chuo nilichosoma kwa stori ya kawaida tu kwafaida gani upoteze anonymous yako.
  3. Sea Beast

    Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Hii mbon kawaida tu unapoandika mada inayohusu maisha yako ku-twist baadhi ya details ili usiharibu Anonymous ya ID yako labda uwe hujui nini maana ya JF. Sioni tatizo lolote hapa.
  4. Sea Beast

    Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Yaani wewe ndio unajipa jukumu la ku-Care ndoa munayoiendea na si yeye....Jitathmini mzee. Mimi nahisi nilipofikia naweza nisioe kabisa au kuwa na mwanamke muda mrefu maana ujinga siufagirr kabisa kabisa
  5. Sea Beast

    Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Inategemea na utendaji gani au aina gani ya kazi unaimba, wewe uombi udakatari hapa au Engineering ni Manager, katika utendaji wa Manager anandaa documents nyingi Proposal, Plan, Strategies, Report nk hizo inakuwa ni moja ya utendaji wako maananhizi proposal ndio unawapa watching wako...
  6. Sea Beast

    SoC04 Muongozo utatuzi wa tatizo sugu la ajira, kuelekea Tanzania bora

    Kuna suala la Familia kwa pamoja kuchangia vijana wanaoanza maisha kwa mtaji wa pesa.
  7. Sea Beast

    SoC04 Muongozo utatuzi wa tatizo sugu la ajira, kuelekea Tanzania bora

    Hoja nzuri, hakika tukiwekeza kwenye soko la uhakika itakuwa chachu ya watu kujiajiri maana soko nalo ni moja ya changamoto kubwa. Wakulima wanalima mazao yao na hakuna soko la uhakika kabisa inakatisha Tamaaa, wakipeleka madam sokoni wanakutana na bei za kiranguzi na rumbles. Natumai kupitia...
  8. Sea Beast

    Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

    Umeongea vizuri ila dela bila chupi haupo sahihi, hao wasaizi wapo mtaani na wapo na tabia nzuri tu kabisa wife materials. Mimi nanae huyu mwezi wa pili huu ajaniomba hata Shilingi 10 ila vipesa nampa tu nikiwa na 1000, 2000 kubwa kumpa ni 3000 Week hii nikipata mshiko ndio nategemea kupa...
  9. Sea Beast

    SoC04 Muongozo utatuzi wa tatizo sugu la ajira, kuelekea Tanzania bora

    Salaam Wanajamvi Kuelekea ujenzi wa Tanzania ile tunayotaka, Mimi napenda kuchangia mawazo yangu na kufungua mjadala katika suala zima la utatuzi wa ajira hapa nchini. kati ya changamoto kubwa tuliyonayo kwa wakati huu ni tatizo sugu la ajira ambalo ndio chachu ya kukuza uchumi binafsi na taifa...
  10. Sea Beast

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tanzagiza ni nini wewe mbona kama una mindset ya kitumwa kutopenda chako.
  11. Sea Beast

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tara hizo sehemu za utalii
  12. Sea Beast

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tanzania is famous than Zanzibar, na sisi ni Tanzania ukizungumzi Tanzania ni Bara hata muungano ukivunjika bado sisi ni Tanzania unataka tufahamikaje.
  13. Sea Beast

    Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Huyu nilienae sasahivi anyone ya kweli na mimi nimejupana hasa kushilia nganganga yaani hapa sikubali penzi life kizembe tu walahi target yangu ya kwanza nijaze upepo kwanza soko la mahusiano gumu hata sitaki kusumbuka tena
  14. Sea Beast

    Seeking advice on a complex situation concerning my lover who seems to have multiple relationships

    Seems like someone put too much English in one place I love it, you guy is very loved. Here we go buddy, for such kind of incident your the one who SIMP to that women telling us she engage in multiple relationships it is enough for you to step aside before putting all these English lines here...
  15. Sea Beast

    Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

    Hapa kasome Reverse Psychology mara nyingi inawahusu wanaume ila kwa situation hii inabidi uoneshe na kumzoesha kumjari jamaa kwa muda fulani then ondo hizo Care na kuwa kama huna interest nae tena hapo kama kweli njia zako ulifanya vizuri ataanza kukufuatilia wewe na kukuweka kipaumbere kama...
  16. Sea Beast

    Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

    Sasa kama ushauri huu unaona mgumu kwako then haupo serious na uzi wako huu kuna ushauri gani mwengine utapewa zaidi ya kuambiwa kiwa Submissive kwa huyo mwanaume. Uzi unahusu mapinduzi na hizo ndio mbinu
  17. Sea Beast

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Mtoa mada umejuaje walidhani madini less than second wameona kitu na kulipukiwa
  18. Sea Beast

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Hivi tatizo huna macho au Common sense, unasema mwenzie anamkimbia wapi wakati kwenye video mwanajeshi aliyepona anaonekana kukimbia mlipuko less than second mlipuko umetokea na mtu kukimbia unasema anakimkimbia mwenzie
Back
Top Bottom