Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuimarisha ulinzi wa Mkoa huo ambao ndio kitovu cha utalii hapa nchini huku likibanisha kuwa leo limeendelea na utoaji elimu kwa madereva wanao pokea na kutoa huduma ya usafiri kwa wageni wanafika Mkoani humo kwa ajili kutalii.
Akiongea mara...
Mbunge Felista Deogratius Njau akichangia mada kuhusu Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amesema majengo kadhaa ya Ubalozi wa Tanzania yamechakaa likiwemo la Washington DC Nchini Marekani, hivyo ameshauri Serikali iangalie jinsi ya kuboresha.
Ameyasema hayo...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) nakueleza kuwa imetengenezwa na watu wenye maslahi binafsi.
Ameyasema...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa.
Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32.
Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wakazi 12 wa Ifakara, Morogoro akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka...
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali akitoa mfano Barabara ya Dodoma – Iringa ambayo imekuwa na...
SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali.
Dkt Tulia amesema hayo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China.
Vijana hao wenye ujuzi...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi na mwakilishi wa wakudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kabla ya...
Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai baadhi ya Maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wamekuwa sio waaminifu wanapokwenda kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya Dawa (Pharmacy) ikiwemo kutengeneza mazingira ya Rushwa, kuchukua Dawa na kutoziwasilisha kwenye ofisi za TMDA, ufafanuzi...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 34, leo Mei 27, 2024.
https://www.youtube.com/live/IS2dt0MQBRU?si=kftVdtYYt24L5Y1X
Mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya TANESCO na SONGAS unafikia ukomo wake tarehe 31 Julai, 2024.
Haya yamesemwa Bungeni leo, Mei 27, 2024 na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
ALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIA
Amemshukuru Msanii Harmonize kwa kumualika...
Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR.
Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama leo tarehe Mei 25, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Samia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo na Mwenyeji wa Maadhimisho...
Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao.
Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.