Recent content by Raia Fulani

  1. Raia Fulani

    SOMA HII

    Ni kweli ila kuna angalizo. Mkono unaotoa inabidi uwe na kiasi maana unaopokea haukatai
  2. Raia Fulani

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Achangia Milioni 5 Ujenzi wa Kanisa Katoliki Rulenge - Ngara

    Mleta mada alitaka kufikisha ujumbe fulani hivi. Ujumbe umefika
  3. Raia Fulani

    Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    Ushauri Umeandika vyema, ila ushauri wako ni kama nguvu za giza. Kwamba masuala ya Mungu weka kando. Pili ulitaka kutuhabarisha kwa hao jamaa wanashiriki
  4. Raia Fulani

    Naoa mwezi wa nane, naombeni ushauri

    Ushauri wangu, oa
  5. Raia Fulani

    Watanzania wengi hawapo Flexible, Wengi ni Conservative na hapo ndipo CCM inaposhindia.

    Halafu kumbe ni Mtibeli? Mzee wa mada nyeti. Huwa siangalii mleta mada. Mara nyingi nashambulia tu hoja. Wewe yani ningejua nisingekujibu hivyo 😅 Ila kiukweli yapo mambo hayahitaji flexibility unayotaka kuihubiri. Mathalan mimi kuzaliwa mkatoliki sioni cha kunitoa hapo. Naweza kuwasikiliza...
  6. Raia Fulani

    Watanzania wengi hawapo Flexible, Wengi ni Conservative na hapo ndipo CCM inaposhindia.

    Kama wewe ni mwanaume bila shaka hadi sasa umeshapata mume. Si uko flexible? Ndio...
  7. Raia Fulani

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Wahaya bana. Kama wanyakyusa tu pale wanapojifanya wanajua sana uislam
  8. Raia Fulani

    Ni yeye! Ni nani?

    Ni yeye!
  9. Raia Fulani

    Ni yeye! Ni nani?

    LITANIA YA USHINDI Ee Mungu Baba kwa namna ya pekee utuvushie mtu huyu kwa salama ili naye atuvushe kutokea sasa na hata baadae ili akiingia kuwa kiongozi wa nchi, basi aiweke misingi ya kiutawala kwa namna ambayo hata akija kiongozi mwingine isiwe tabu kwake kuongoza. Baba ujue tunahitaji...
  10. Raia Fulani

    Kuoa mwanamke mwenye kipato cha juu ni kijitafutia stress

    Hizo ni ishara kuwa unapaswa kujitafakari upya
Back
Top Bottom