Hatimaye jana nimelipwa mshahara wa Machi na Aprili baada ya kufanyiwa ukatili na PEPMIS

Daaaaahh, so sad

Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa?

Ili afedheheke katika jamii?

Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele kimoja cha mfumo wa PEPMIS ni uzembe wa mwajiri wangu.

Nimepokea pesa nimetumia laki tu zingine nimeweka reserve kama kawaida yangu.

Ingawa nimelipwa lakini siwezi kumshukuru mtu kwa kunilipa, ningekuwa na fedha nyingi ningeacha kazi na kuhama nchi.

Wanasiasa wakigonga madawati tu pale Dodoma wanalipwa millions of money bila kipingamizi.

Sijatetereka kiuchumi ila ratiba zangu zimeparaganika, nimetumia sehemu ya reserve yangu.

Serikali ikiwadharau watumishi wa umma wasidhani wananchi watapata maendeleo.

Mwafrika ni kama maji ukiyazuia huku yatapita kule, ndio maana bongo mtu anapokea mshahara wa laki 5 lakini anadrive Subaru haikati mafuta na service inafanywa kama kawaida, lakini mifumo ya njia za panya imeasisiwa na viongozi wetu.
Tukutane kwenye kikokotoo
 
Pole mkuu

This country wasio na akili ndio wanapewa nchi waiongoze walambe asali wapate vitambi wao na familia zao.

Ova
Ukiangalia wabunge wanavyoongea wakiwa mle ndani Kuna picha unaipata ambayo ukiwa na wageni wa nje ya nchi hungependa waione.
Hasa wabunge wa kuteuliwa na wale waliobebwa na mwendazake.
 
Daaaaahh, so sad

Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa?

Ili afedheheke katika jamii?

Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele kimoja cha mfumo wa PEPMIS ni uzembe wa mwajiri wangu.

Nimepokea pesa nimetumia laki tu zingine nimeweka reserve kama kawaida yangu.

Ingawa nimelipwa lakini siwezi kumshukuru mtu kwa kunilipa, ningekuwa na fedha nyingi ningeacha kazi na kuhama nchi.

Wanasiasa wakigonga madawati tu pale Dodoma wanalipwa millions of money bila kipingamizi.

Sijatetereka kiuchumi ila ratiba zangu zimeparaganika, nimetumia sehemu ya reserve yangu.

Serikali ikiwadharau watumishi wa umma wasidhani wananchi watapata maendeleo.

Mwafrika ni kama maji ukiyazuia huku yatapita kule, ndio maana bongo mtu anapokea mshahara wa laki 5 lakini anadrive Subaru haikati mafuta na service inafanywa kama kawaida, lakini mifumo ya njia za panya imeasisiwa na viongozi wetu.
You should pay for this ad
 
Back
Top Bottom